Huu mtaji mtaji tosha kabisa

Huu mtaji mtaji tosha kabisa

Buzi Maarufu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
422
Reaction score
330
Kama una miaka 18....na unaishi na wazazi wako au ndugu,na kila siku unapata milo mitatu hapo nyumbani kwenu,basi Wewe una mtaji mkubwa sana huwezi ukashindwa kuitengeneza kesho yako.
Daaa nilikosa kibarua Cha kulipwa mwisho wa mwezi nikiwa na miaka 17 kwasababu nyumbani kwetu hatukuwa na uhakika wa kula,tuliishi kwa kuhemea unafanya kibarua na kulipwa siku hiyohiyo,Sasa Kama Wewe kwenu unapata msosi halafu hujishughulishi siku hao wanaokulisha leo wakikwama au wakatangulia mbele ya haki,basi utaishi maisha mabovu Sana,hiyo milo mitatu ni mtaji mkubwa sana kwako,wenzangu ambao walikuwa na uhakika wa kula kwao walienda kufanya kibarua wengine hatimaye wakaajiriwa mpaka Sasa ninapoandika uzi huu wapo kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko sahihi..ila asilimia kubwa vijana wenye umri tajwa..yawezekana Milo 3 haipigi chenga..lakn akili wamewekeza kwenye ngono..hawana habari kabsa
 
Mkuu tunawalaumu vijana bure Ila kiukweli Wana situation ngumu sana.
Hakuna mtu anaependa kukaa bila kazi
 
Kama una miaka 18....na unaishi na wazazi wako au ndugu,na kila siku unapata milo mitatu hapo nyumbani kwenu,basi Wewe una mtaji mkubwa sana huwezi ukashindwa kuitengeneza kesho yako.
Daaa nilikosa kibarua Cha kulipwa mwisho wa mwezi nikiwa na miaka 17 kwasababu nyumbani kwetu hatukuwa na uhakika wa kula,tuliishi kwa kuhemea unafanya kibarua na kulipwa siku hiyohiyo,Sasa Kama Wewe kwenu unapata msosi halafu hujishughulishi siku hao wanaokulisha leo wakikwama au wakatangulia mbele ya haki,basi utaishi maisha mabovu Sana,hiyo milo mitatu ni mtaji mkubwa sana kwako,wenzangu ambao walikuwa na uhakika wa kula kwao walienda kufanya kibarua wengine hatimaye wakaajiriwa mpaka Sasa ninapoandika uzi huu wapo kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 18 bado ni mtu ambae kwa tz na africa, akili inakuwa haiko matured sana... hata kwa wazaz wana'mchukulia kama bado mtoto

Nadhan kwasababu ya system iliopo but kwa wenzetu kidg sawa



...
 
Kama una miaka 18....na unaishi na wazazi wako au ndugu,na kila siku unapata milo mitatu hapo nyumbani kwenu,basi Wewe una mtaji mkubwa sana huwezi ukashindwa kuitengeneza kesho yako.
Daaa nilikosa kibarua Cha kulipwa mwisho wa mwezi nikiwa na miaka 17 kwasababu nyumbani kwetu hatukuwa na uhakika wa kula,tuliishi kwa kuhemea unafanya kibarua na kulipwa siku hiyohiyo,Sasa Kama Wewe kwenu unapata msosi halafu hujishughulishi siku hao wanaokulisha leo wakikwama au wakatangulia mbele ya haki,basi utaishi maisha mabovu Sana,hiyo milo mitatu ni mtaji mkubwa sana kwako,wenzangu ambao walikuwa na uhakika wa kula kwao walienda kufanya kibarua wengine hatimaye wakaajiriwa mpaka Sasa ninapoandika uzi huu wapo kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu ukweli ni mchungu sana
 
Mkuu hapo umenena vyema kabisa
Natamani nirudishe nyuma muda nifanye baadhi ya vitu lakini ndio hivyo Tena wakati n ukuta.
Kijana usibweteke chochote kinaweza kutokea wakati wowote
Ishi Leo na sio kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom