Natafuta mwanamke wa kua nae

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,008
2,000
Habari mm ni kijana mwenye miaka 27 naish Dar natafuta mwanamke mjasiriamali nataka nianzishe nae mahusiano then anizalie mtoto na nimesema awe mjasiriamal sababu itambid ajiajir mwenyewe Ila mtaji Tampa mwenye Yuko tayar anicheki vigezo awe mweupe na mwenye Shep

Ni sereaus inshu Sio utani please sapot yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,243
2,000
Habari mm ni kijana mwenye miaka 27 naish dar natafuta mwanamke mjasiriamali nataka nianzishe nae mahusiano then anizalie mtoto na nimesema awe mjasiriamal sababu itambid ajiajir mwenyewe Ila mtaji Tampa mwenye Yuko tayar anicheki vigezo awe mweupe na mwenye Shep

Ni sereaus inshu Sio utani please sapot yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Muanzishe mahusiano akuzalie bila kumuoa?? Kisa hivyo visenti vyako vya mtaji wa ujasiriamali?

Mama kurareee umesikia hiyo?? Njoo huku unatafutwa.
 
Top Bottom