Msaada hapa, namalizaje mchezo?

Msaada hapa, namalizaje mchezo?

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,773
Reaction score
7,375
Wadau kuna huyu binti nilikutana naye miezi michache iliyopita na tukabadilishana namba kiamani tu. Sasa kiukweli huyu binti anaonesha kunielewa sana mwamba, mara ooh umelala na nani, unafanya nini, ulikuwa wapi?

Tukiagana kwenye chatting, mara ooh msalimie umpendae, mara lala salama mpendwa.

Sasa jamani mimi nataka nimalize mchezo hapa kiamaniamani kabisa, Msichana kama huyo inabidi nimalize vipi mchezo. Ila lengo kuu nataka aingie kwenye himaya yangu (Yaan nilimiliki zigo) ila issue kubwa sitaki kumtamkia kuwa nampenda ijapokuwa nami namwelewa kiaina hivi, maana niko na allergy sana na hili neno.

Ila ikumbukwe dogo kashahangaika kwangu.

Karibuni wadau
 
Jichanganye tu ule za uso,binti ametega kombora zake na kuzielekezea Kaskazini mashariki.sasa ili kuepuka hlo wewe endelea kuyachokonoa kwa upande wa kusini magharibi kama hujuwi ukisema usigeze uso tu ni utapigwa vizinga paka umsahau mamaako mzazi.
 
Mkuu, me najua thamani ya buku kama wazee wa kubeti.. Hali hata jero..
 
Maliza mchezo hivyo hivyo. Ukishamwelewa tu na wewe usije kulalamika huku ooh vizinga vingi!
 
Jichanganye tu ule za uso,binti ametega kombora zake na kuzielekezea Kaskazini mashariki.sasa ili kuepuka hlo wewe endelea kuyachokonoa kwa upande wa kusini magharibi kama hujuwi ukisema usigeze uso tu ni utapigwa vizinga paka umsahau mamaako mzazi.
Hahahaaaaaaaa mwanangu umeotea mbali sana. Bomu limeelekezwa bahari ya Siberia Pacific kule.
kaskazini....likilipuka hasalimiki mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom