Toka 2017 kumaliza chuo na kuingia mtaani marafiki zangu wengi wameingia katika ndoa na Michango nimechangia almost yote.
Sasa safari hii zamu ya "cousin" yangu (tunalingana umri) kanipa kadi ya...
Kuna binti nilimpenda ila sikuwa na lengo la kuja kumuoa yaani nilimtamani tu kwa lugha nyingine kutokana na kuumizwa katika mapenzi niliamua kuwa kama "playboy " .
Lakini siku zimepita na...
Senior Black Couple Sets Record with 84-year Marriage
Liz Bowles/Sun Journal
A Craven County couple are in the Guinness World Records book. The two did nothing outlandish such as...
Hali ni tete...
Wale wanaobadilisha badilisha wapenzi,muda huu si rafiki. Ukipigwa chini hesabu maumivu,huu ni muda wa kunyenyekea kwa mpenzi uliyenaye ili uendelee kuishi na kutumia rasilimali...
Hivi mwanamke unaemfukuzia kukuletea zawadi siku yako ya kuzaliwa na huku wewe mwenyewe haujui kama ndo siku hiyo, kisha ukimuomba mzigo anazingua na hataki kusikia kitu kama hicho inamaana gani...
Hi
I hope wote tu wazima.
Eti ni kweli kuwa ndoa is an institution easy to enter but hard to get out of it?... nimeliwaza hili baada ya kuwa nashuhudia mifarakano mingi katika institution...
Hii Kali, hawa CIA ni wajanja sana wa kufikiri katika kazi yao.
Kutoka BBC news:
'Viagra lure' for Afghan warlords
America's CIA has found a novel way to gain information from fickle Afghan...
Wakuu mambo vipi,
Mwaka 2006/7 nilikuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye nilimfahamu kutokana na mizunguko yangu. Kipindi hicho huyo dada alikuwa akisoma Udsm mwaka wa pili nami nikiwa mwaka huo...
Maisha haya acheni wadau, nimepona la sivyo nilikuwa nakufa.
Kuna mwanamke mmoja nakulaga kimtindo, sasa leo nipo naye baa maeneo ya Arusha nashangaa njemba mbili zimekuja moja inadai manzi wake...
Nawasalimu wooote wote kwa jina la yeye mwenye mamlaka mbinguni na duniani. Baada ya salamu hiyo naomba nicheke kidogo japo kwa majonziππ’ππ’π’πππ€ Corona imebadili baadhi ya mifumo yetu ya kimaisha...
Nimekumbuka mbali. Tusichekane.
Nikiwa na umri mdogo, nilikuwa nasikiliza sana vipindi vya redio kabla ya ujio wa televisheni na mapinduzi yake. Huko nikadevelop interest na media lakini zaidi...
Habari?
Binafsi nilikuwa nawashangaa wanaume wenzangu wanaooa wake mama wa nyumbani, lakini kadri siku zinavyosonga ndio na mimi nikajua kwanini wengi wao wanafanya hivyo.
Mwanamke anakuwa mkeo...
Habarini wakuu,
Wakuu mimi nimeanza kupenda na kutongoza mabinti muda sanaa. Nakumbuka kwa mara ya kwanza nikiwa darasa la nne mwaka 2000 nilitokea kumpenda Jackiline. Jackiline alikua ni mtoto...
Asilimia kubwa ya wanawake ambao nimesoma nao, shuleni hawakuwa na mambo mengi, hawakuwa na mvuto kiviile, hawakuwahi kutokea hata kwenye top 20, yaani kiujumla walikuwa washamba washamba hivi...
Nyieeee mpooo,
leo nimebahatika kujiself karantini na kale kabinti kazuri kazuri nilikowaambia,
Saaaasa nawaomba mnishauri jamani wakati tukiwa uku na ako kabinti tufanye nini??
wazazi wake...
Mimi katika kutafuta kazi nilibahatika kufanya kazi kwa Dada mmoja hivi,Leo nina siku ya 23 kwanzia nianze,cha ajabu boss wangu kaleta mfanya kazi mwingine na kaniambia Mimi nisifanye kazi nikae...
Ukiona meseji hii jua kua nimekukumbuka sana, nakumbuka mara ya kwanza nilikusubiri ukashukia kituo Cha daladala pale serengeti opposite na Kibasila Ukitokea Buza (ulikua umenyoa kiduku) ...
Ili uweze kuwa mwanaume kamili, lazima pia uwe na swaga za kishua ili mipango iweze kwenda sawia...
Bila hivyo, warembo watakutesa sana..
Warembo mtuvumilie tu, ndivyo tulivyo.
Sent using...