Je, kukaa pamoja nyumbani kwa muda mrefu kunawafanya mahusiano yenu kushamili au kuvurugika?

Raphael phockus

JF-Expert Member
Nov 4, 2018
778
4,518
Habari ya muda huu wana jamvi!

Kama mada inavyo jieleza hapo juu, je, ni kweli kwa wenza na wanandoa kuishi au kukaa pamoja kwa muda mrefu. Kunapelekea mahusiano kuimalika zaidi au kuvurugika kutokana na kuzoeana kwa muda mrefu?

Mambo-10-Yanayosababisha-Ugomvi-Kwenye-Mahusiano.jpg


kama hujaelewa soma comments.
 
Kushamiri √√√
Kushamili Xxx

yess BishOoo haSwaaaaaaaH
Hivi tatizo nini hadi baadhi ya watu wanachanganya mambo madogo kama hayo, tena utakuta naye anajita msomi wa chuo kikuu.

Nikiona mtu ameandika l badala ya r au r badala ya l inanifanya nakosa hamu ya kuendelea kuchangia au kusoma .

Mbaya zaidi wanaharibu hadi majina ya watu kwa kukosea baadhi ya herufi.

Kwa mf mtu anaitwa Bakari anaandika Bakali, Faidha anaandika Faiza, kulala anaandika kurara hovyo kabisa
 
Labda sijaelewa mada..... nilidhani imejikita kwenye hali tuliosasa.

Watu wamejifungia ndani hawaendi kazini wapo wote 24/7.

Hii raha first 2 weeks...baada ya hapo unaona nyumba chungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hiyo hiyo nayosemea!
Asa uchungu unatoka wapi eti jamani, au ndo ile naye mke ananuna kumbe kammiss mpenzi wake mwingine!
 
Yapo mahusiano kukaa pamoja ndo mtazidi kujenga bond na kuimarika..

Na yapo mahusiano hata kukaa masaa matatu bila umeme wala network mnaweza uana..

Hizi TV na simu zinasaidia mno kukwepesha maugomvi


kama hujaelewa soma comments.
 
Back
Top Bottom