Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Hii kauli ambayo hutolewa na akina mama wengi kuwaambia watoto wa kiume wanaoingia katika mahusiano na mabinti zao huwa ni kama nuksi ya kuharibu uhusiano na usidumu.
Kimsingi aina ya wamama wanaotoa kauli hizi ni wale "MAMA SHOSTI" kwa mabinti zao. Wao wanashare kila kitu na mabinti zao na kawaida unakuta wamama wa namna hii aidha hawana mume sababu waliachika kutokana na tabia zao mbovu na kukosa maadili au waume zao walikufa kwa stress walizochangia.....
Kimsingi binti anaesikia mama yake anamwambia hivi mwanaume anaekuwa nae, yeye huyu binti hujiona kuwa ni innocent na huwa hakosei na hapo inampa kichwa cha kufanya mambo ya kipuuzi katika uhusiano na pindi atakapochoka ndio basi uhusiano kushiney.....
Kimsingi vijana kuweni makini sana mnapoanza mahusiano serious. Ukiona mama na binti wanaukaribu ambao si wa kawaida kwa mama na binti yake jua hapo wanakulamba kisogo kila unapokuwa mbali na wao wakibakia wawili.
Nimeiona hii kitu katika mahusiano mara kadhaa.....
Sent using Jamii Forums mobile app