Mwanamke haombi hela ana mpango gani?

Mwanamke haombi hela ana mpango gani?

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,627
Reaction score
5,714
Kuna kabinti flan iv niliwah kukapiga sound kitambo( kalikuwa kadogo) kakanizungusha sana nikakapotezea hiyo ilikuwa 2015. Sasa nimekutana nako mwez wa tatu mwaka huu keshakuwa binti mkubwa. Nimefatilia lifestyle yake nimegundua ni kazee ka beach kidimbwi sana (akikosa labda anaumwa)

So kwa maana nzuri ni kadangaji og. Nikakafata na kukakumbushia kuwa enzi zile tuliishia njian twendeleze mapambano kameelewa. Nikaanza kuwa nakaita napiga. Aisee nimepiga mwez wa tatu mzg na wa nne zaid ya mara tano sasa
Shida hakajawahi niomba hata sh 10[emoji15] wakat najua nikadangaji so huwa natarajia kanitoboe

Hali hiyo imenitisha nimeamua kusimamisha mahusiano ni week sasa nimemkaushia kila sehemu. Jana usiku akanitfuta kujua hatma yetu ikabid nimwambie ukweli kuwa namuacha kw sababu hajawah kuniomba hela

Jibu lake sasa “ Ndio mimi nadanga but haimaanishi sina hisia, nina hisia kama wanadam wengine na wewe nimekupenda kweli ndo maana sioni umuhim wa kukudangia wakat nakupenda kwa dhati”

Now niko njia panda niendelee nako au la!
 
Unaweza kumhudumia kwa muda gani akianza kukuomba hela?

Pia jiongeze basi mwanaume haombwi anatoa ili kusaidia majukumu madogomadogo kwa mtu wake.

Anatumia nauli yake kukuletea hiyo ngozi yake utumie, hujawahi kuguswa hata umpe nauli ya kurudi kwake.
 
Always namfata na kumrudisha
 
Kwani wewe ni mwanaume wa mwanamke mmoja?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu tuna Allergy na mizinga ww unatak kupgwa mzinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu umepata.
 
Wanasemaga wanawake hawaeleweki wanataka nini ila hapa mleta mada unataka kibao kigeuke waanze kusema wanaume hawaeleweki wanataka nini.

Tukipigwa mizinga tunalalamika, tusipopigwa mizinga bado pia tulalamike tena?
 
Back
Top Bottom