Nuru imeniwakia

Nuru imeniwakia

Husband seeker

Senior Member
Joined
May 6, 2018
Posts
125
Reaction score
76
Wajamani namshukuru Mungu, kwa sababu ya mengi.

Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu kwa maana leo ndio imekuja kutolewa posa.

Sio wa JF wala wanini ni mzungu amenipunguzia machungu ni galfa ila na shukuru sana leo naitwa mchumba wa mtu.

Na mwezi ujao tarehe 3/11/2018 naolewa asanteni kwa wote mliojitokeza.

Asanteni muwe na wakati mwema
 
Aisee! Pole sana kwa kutumikia aka kutumika mpaka wana kublock dah! Yaonekana utakuwa mke mwema maana umeitafuta kwa jasho.
 
Aisee! Pole sana kwa kutumikia aka kutumika mpaka wana kublock dah! Yaonekana utakuwa mke mwema maana umeitafuta kwa jasho.
Ndio waliniblock nilimpata mkaka humu ile tu tunataka kuonana akadai simpendi akaniblock mwingine hadi leo hajaj sijamwona.
Ila ndio maisha nimepata nanitatulia
Sasa nilimpenda huyo kaka sana aliyeniblock ila inaonyesha hakuwa mkweli.
Ila nadhani anasoma naolewa nyeupe sio cheusi kama yeye .
 
yani ushaanza mbwembwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom