Natafuta mchumba

saitama_kein

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
981
99
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................:A S 8:

Mpaka sasa nimepokei maombi 23....ila kati yao ni 12 tu ndiyo yametiza masharti!!! Mwisho wa kupokea maombi ni Jumamosi tarehe 15 saa 9 mchana.....shime jitokezeni maana nipo MORE THAN SERIOUS. Mchakato mzima wa kumpata THE RIGHT ONE utakuwa wazi na kujadiliawa humu ndani.....maombi ya jinsi ya kuendesha zoezi hilo yanakaribishwa!!!

gdpit_com_5610562_249.gif
 
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................:A S 8:
du mkuu kweli?domo zege wakati hapa unaongea kweli kweli,au sababu ni keyboard inakusaidia?anyway nakutakia kheri najua utampata hapa.
 
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................:A S 8:

Vp mambo yako ya chenjichenji, yamekaaje, mbona husemi, watakuuliza sasa hivi hao!:becky:
Kuna mwana-JF anayeendana kabisa na sifa hizo, atakutafuta soon!..ngoja nimpiemu!
 
Vp mambo yako ya chenjichenji, yamekaaje, mbona husemi, watakuuliza sasa hivi hao!? Kuna mwana-JF anayeendana kabisa na sifa hizo, atakutafuta soon!..ngoja nimpiemu!
awe na shughuli yake binafsi maana chenji itabidi tutafute kwa pamoja
 
We jieleze A to Z watu watajitokeza. Tatizo hamna anaetaka kuanza kukuuliza mambo yako vp, kazi wapi, wasifu, n.k so toa maelezo yote then barua za maombi zitakuja
maombi yaje jamani....mie ni mjasiriamali, nina banda langu la zuri tu la kuuza chips mitaa ya tabata pia nina bajaj 3 nimekodisha....
 
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................:A S 8:

Watu amabo wanaweza kukusaidia kikweli kweli ni wazazi wako, ndugu zako wa karibu kama vile dada zako binamu, na marafiki wako wa karibu...!

Jaribu kuwasilisha hoja zako kwenu haswa wazazi wako au wajomba zako, nadhani wao wataweza kukutafutia mwenza wa uhakika.

Tena basi siku utakayo wafahamisha kuwa unaitaji msaada wao ni siku ambayo wataonyesha furaha kubwa kwani kitendo cha kuwashirikisha kwa mila za Kiafrika ni heshima kubwa sana.

Kila la kheri
!
 
hahahahahahaha hawa unawaona hapa wote wana wenyewe humu humu JF hivyo jaribu sehemu nyingine wa hapa umeshachelewa
Maskini mie jamani hivi nilichelewea wapi....hakika domo zege limenikosti???:target:
 
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................:A S 8:
SIFA MOJA YA MCHUMBA WAKO UMEISAHAU.......AWE NA HASIRA NA MAFISADI( Kama SIGNATURE yako inavyosomeka)
 
Vp mambo yako ya chenjichenji, yamekaaje, mbona husemi, watakuuliza sasa hivi hao!:becky:
Kuna mwana-JF anayeendana kabisa na sifa hizo, atakutafuta soon!..ngoja nimpiemu!
mkuu.huyu jamaa kesha tamka wazi anataka bibie alie na shughuli yake binafsi,hii ina maana hizo changechange ni zake tu,bibie asizitegemee sana. MI naona kwa presentation ya huyu jamaa,itamcost kidogo,mtu alie na shughuli.......mhhhh na je shughuli ikikoma, atatoa talaka? au atatafuta mwingine?.........ningekuwa mimi ningeliedit kidogo bango lake. Unajua neno moja tu mwanamke atalifikiria sana, na kulitafsiri. Labda niseme dada zetu kwa mtizamo wangu wapo very sensitive and always should be handled with care! tusameheane kama nawakwaza.
 
Wana JF mpaka sasa nashukuru nimepokei maombi 23....ila kati yao ni 12 tu ndiyo yametiza masharti ya maombi yaani kuambatanishwa kwa CV na picha!!! Mwisho wa kupokea maombi itakuwa Jumamosi tarehe 15 saa 9 mchana.....shime jitokezeni maana nipo MORE THAN SERIOUS na kwa wale watakao pita katika mchujo ningeomba wakubali mchakato mzima wa kumpata THE RIGHT ONE uwe wazi na kujadiliawa humu ndani.....maombi ya jinsi ya kuendesha zoezi hilo yanakaribishwa!!!
 
omba mawasiliano,ongea nao kila mmoja,,uone yupi mazungumzo yanakwena naturally!

omba kukutana na kila mmoja wao (outing)...yupi unafeel conected naye...

kila la kheri!
 
Back
Top Bottom