Sure: ata ukiwaambia wachache wataishia kukuhurumia tu!, na wengi hawatojari kabisaa. Haitokusaidia ukiwaeleza umewahi kutoa mimba mara nyingi
Haitokusaidia ukiwaeleza huna uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke. Haitokusaidia kusema nimekua na wapenzi wengi ila naishia kuachwa. Haitokusaidia kusema sijui kupika wala kufua nguo. Haitokusaidia kusema sina umbo la kuwavutia wanaume wakwale n.k
Katika maisha hakuna mkamilifu. Kuna wakati unatamani maisha ya wengine ukidhani wao uenda wamebarikiwa zaidi kumbe kinyume chake wao pia Kuna eneo wamebanwa mbavu.
Kuna kisa Cha binamu yangu mmoja sitokisahau. Mungu alimbariki ulimbwende natural kabisa. Umbo matata kabisa, linalotenganisha kichwa, kifua , na kiuno. Tulizoea kumuita "mzuri kama binti wa kuchorwa". Akiwa kwenye age ya 19-21, Kuna watu matajiri akiwemo Mh. Mmoja aliewahi kuwa Naibu waziri wa nishati na madini, waliwahi kuonyesha nia ya kuleta posa ili wamchumbie.
Yote hayakufanikiwa pale binamu yangu alipotoa siri ya udhaifu wake kwa shoga ake kuwa alikua na jinsia mbili sehemu zake za siri. Udhaifu ule ulitapakaa kwa kasi sana hadi ukoo ukaamua binti apelekwe akaishi ughaibuni.
Kamwe usiharibu maisha yako kwa kusema madhaifu yako. Tangaza mazuri yako. Ayo ndio yamebeba nguvu zako za mafanikio na si madahaifu yako.
Usipewe kazi na boss yako, hata kabla ya kujaribu unakimbilia kusema siwezi. Usije ukafanya kosa Kama hili kamwe, wewe fanya kazi, matokeo yatasema Kiwango cha weredi na udhaifu wako. Ila hauruhusiwi kutangaza madhaifu yako kabla ya matokeo.
Umepewa nafasi na mdada clasic, smart upstairs, independent woman wewe unaanza kulialia haaa uyu msomi atanisumbua na kuninyanyasa? acha urofa, nani kakuambia hitimisho hilo?. Unaweza mkuta naye anaudhaifu wake wa kukojoa kitandani au ana tatizo la kuanguka kifafa nawe ukautumia udhaifu huo kumshika jeuri yake yote na maisha yakasonga.
Hakuna kitu kinaniudhi humu JF Kama vijana wa kiume kulialia siwezi ku date demu mkali coz eti sina discent job, Sina pesa, bado sijajipanga ....na blabla Kama hizo.
This is nonsense kabisaa. Wadada smart wako wengi tu wanasubiri vijana wenye udhubutu wa kujieleza kiume na waonyeshe mtazamo positive na maisha na wanawatunuku zawadi za maisha. Usijihukumu kabla hujahukumiwa.
Nadhani nimeeleweka, usiache kunipa feedbacks