Inanipa shida nina miaka 26, mwanaume anayenipenda ana 24. Hii ya mara tatu sasa namkatalia lakini hachoki anaonesha malengo na mimi anasema umri sio tatizo ila kimaumbile yeye mwanaume ana mwili mkubwa, nikisimama naye mkubwa yeye kingine nina hofu na familia yake wako wawili tu.
Napenda mwaname ambaye kwao wawe hata kuanzia watatu nakuendelea hata kama watakuwa hawana kazi najua watakuwa na mchango mkubwa sana katika shida mbalimbali ushauri wenu
Napenda mwaname ambaye kwao wawe hata kuanzia watatu nakuendelea hata kama watakuwa hawana kazi najua watakuwa na mchango mkubwa sana katika shida mbalimbali ushauri wenu