Watoto na watu wazima hukabiliana na hali ya kuondokewa na wapendwa wao kwa njia tofauti. Mapokeo ya mtoto hutegemea umri, kiasi gani anaelewa na kiasi gani watu wa karibu nae wanajali.
Watoto...
Wakuu habari za siku ndugu zangu wanaJamiiForums?
Natumahi mu wazima kabisa? wanachuo wenzangu nawakumbusha siku ni chache turudi katika pilika pilika la kusaini boom,
Wakuu niende kwenye mada...
Hivi wanaJF
Nimekuja kwenu tujadili mada inayohusu mahusiano, na mada yenyewe ni kwanini watu wengi walioko katika mahusiano wanasema wanapata furaha sana wakiwa na simu zao kuliko wenza wao...
Habari zenu wadau
Kawaida tunapoachana na wapenzi wetu huwa tunafuta namba zao za simu na kuwablock kabisa kwenye account zetu za social media
Binafsi huwa nikigombana na mwenzi wangu na...
Habari zenu wana JF,
Ni mda takribani ya week 3 sikua na access na JF na nikutokana tu nilikua katika kile kipindi cha fungate (honeymoon) au saba za mwanzo. Ilikua ni siku adhimu sana kwangu...
Habarini waungwana namsio waungwana..
Kwenye mada moja kwamoja, Jana nilikuwa nazigo toto lakirombo limejazia toto jeupe tiiii.... Nandio ilikuwa show yafungulia dimba yaani jana ndio kajua kama...
Habari wana MMU. Nia ya uzi huu kuomba msaada wenu wa mawazo.
Niko ndoa kwa muda sasa, nilipata mpango wangu wa kando ambao mwanzoni niliuelewa sana. For story writing purposes naomba tumpe jina...
Habari ndugu zangu katika JF.
Uzi huu hauna lengo la kuwasema vibaya single mothers nawaheshimu na kuwapenda. Lengo ni kujua changamoto zipi unaweza kukutana nazo ukiwa na uhusiano nao, hii...
Mnapoingia maisha ya ndoa na familia katika dini zote, makabila yote na sheria zote hazimpi mke au mume mamlaka ya kumfundisha au kumbadilisha kwani si jukumu lako na hakuna ushahidi wa maandishi...
Ndungu wana Jamvi nimeleta kwenu uzi huu ili tuweze kuuchambua, natumai humu wamo walioowa na wanaotarajia kuoa. Hapa utajifunza
Mke wangu mimi ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni...
Wasalaam
Kuna kamjomba kangu kalipata ujauzito kakiwa Semester ya Kwanza Degree ya kwanza, sasa hivi mtoto anaelekea miezi 6.
Je, anawezaje akaendelea na masomo huku analea? Au mtoto apelekwe...
Ndugu zangu kiukweli hapa nilipofikia moyo wangu umeshapasuka vipande vipande mwanamke nilienaye mambo anayonifanyia kama ni maji yameshafikia shingoni tangu nimezingua nae nimejaribu kutumia kila...
Juzi nilikua zangu nmekaa sehemu nakula rost ya kitimoto na Red Wine [emoji485], wakati naendelea kula pale ghafla akatokea dada mmoja ambae ni jirani yangu lakini hatuna mazoea kivile...
endo la ndoa ni kitu ambacho watu hudhani kuwa kinatakiwa kufanywa usiku. Naam, unaweza kufanya tendo la ndoa muda wowote, lakini ukweli ni kwamba kulifanya tendo la ndoa usiku tu inaweza...
Habari wandugu.
Hebu tuachane na haya mambo yanayo endelea hapa nchini mana mengi yanatia hasira.
Uzi huu uwe maalumu kwa wale wote walio wahi kusalitiwa na wake zao, waume...
Siku moja nimeshuka katika usafiri wa umma niliamua kuingia supermarket moja pale Tabata fulani siitaji, ambayo wanauza maji ya kilimanjaro buku badala ya buku jero ili budget yangu niiminye...
Habari wakubwa natumai nyote wazima ,
Ndugu yenu nina kisanga kikubwa kutoka kwa mzungu , nilimfahamu kupitia social media ambapo yeye ndiye aliyeanza kunitumia text nilivyoiona nilijubu bila...
Siwezi kumlaumu sana, naheshimu mawazo yake mzee wangu.
Lakini nikiwa kama kijana na ndoto zangu nimejikuta leo nikikumbuka jinsi ambavyo ningekuwa naishi katika ndoto zangu na hata kumsaidia...
"Strong Couple"
(Wachumba/Wandaoa Wenye Nguvu)
Niliwahi soma post moja Facebook iliyoandikwa na Kaka "Justine Malili" yeye aliandika kuwa;-
"Hutakiwi kumwambia mwanaume naomba tufunge ndoa, Bali...