Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Eid al fitri Wahenga walisema usiache mbachao kwa msala upitao Usitukane mamba kabla hujavuka mto Yapata mwaka 2017 nilikutana na binti Fulani wa kisukuma ambaye alitoka zake chato huko na kuja...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Yaani mtoto mtundu anaweza kukufanya ufupishe safari kama ni ugenini. Mtoto unakuta hatulii, akishika hili ukimzuia , kashika jingine. Ukiwa mpole wanaweza kukuharibia hata vitu vyako, halafu...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Maisha haya jamani, hebu imagine una mpenzi wako unaempenda kwa dhati halafu anatokea mtu from nowhere anakwambia anahitaji kuwa na mpenzi wako wajege kuishi pamoja lakini anakuomba akupe milioni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutongoza ndio msingi wa mahusiano na ndoa. Mahusiano mengi kama sio yote huanza kwa mwanamke kutongozwa kisha huamua akubali ama akatae. Mara nyingi mwanamke ndiye anaeamua kama haya mahusiano...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
3 Reactions
7 Replies
883 Views
MUME AMWEKEA PILIPILI NA KUZIBA NA GUNDI NYETI ZA MKEWE POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Inaaminika huenda Baba mzazi akawa ndio Mwanaune pekeee atakaye mpatia binti wake upendo wa dhati kabisa na wa kutoka moyoni, na huenda Binti hatakuja kuupata upendo wa aina hiyo kutoka kwa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo nahitaji kuongea na wadada. Tunajua kuwa faragha yenye huba na mahaba ni uwanja maalumu kwa wawili waliopenda na kukubaliana. Faragha uhusisha hatua tatu kimsingi ili kila mmoja afaidi na...
0 Reactions
4 Replies
868 Views
Research zinaonyesha kuwa hawa wanaume wa Jamii hii ya Kimandinka ndo wenye maumbile makubwa kuzid wanaume wote duniani. Hii inapelekea mpk wanawake wa kizungu kutoka ulaya kufanya utalii wa ngono...
3 Reactions
102 Replies
23K Views
Kwa wale waliowahi tongoza au kutongozwa na bubu mpaka mka close deal wekeni uzoefu wenu hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habarnii za miangaiko ya hapa na pale, kiukweli kuna mwanamke tuliachana miezi mitatu imepita ila cha ajabu nashindwa ku move on jamani mda huu kanifanya mtumwa maana nimemuomba turudiane...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Wife bana kajifungua kama mwezi hivi, tunashukuru sana kwa Mungu mtoto wa 2 sasa. Safari hii tofauti na mwanzo kajifungulia hapa hapa na tukiwa tushaamia mjengoni nje ya jiji hukoo...
18 Reactions
103 Replies
12K Views
Wadau hili limekaaje unatakuta wameku add kwenye group la shule ya Msingi, Sekondari, Chuo, Ukoo, Mtaa, La Nzengo, La Ofisini N.k. Sasa kivumbi kinakuja zinapostiwa nyuzi za watu kufiwa na kufa...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Leo naomba nizungumze na wanawake. Nyie wanawake baadhi yenu ni wa.pu.uzi sana. Umri ukienda ndio mnajua mnachohitaji yaani mwanaume serious mtu mzima tena mnatambua hilo baada ya kuchezewa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Eid Mubarak wakuu. Leo napenda kuwauliza Katika mahusiano yako uliyo nayo kipi kilikufanya uwe naye? Je, ni swaga zake? Mtongozo wake ndio ulikushawishi? Muonekano wake? Au uliunga nishiwa na...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu mama mkwe kama mnafiki naona kama saizi ananipenda sana baada ya kuachana na mtoto wake. Nakumbuka uko nyuma niliwahi kaa kwake na mtoto ake alimwambia mtoto wake nirudi kwetu kwani sio...
2 Reactions
15 Replies
46K Views
Niliulizwa sehemu ambazo zina hisia kwa mwanaume nikajibu makalio nilishambuliwa sana na nimeitwa majina yote.. Leo naombeni mtazamo wenu wana MMU nifanye conclusion.
0 Reactions
135 Replies
30K Views
  • Closed
Mimi ni kijana ambaye nataka kuoa, kwetu ni Kigoma. Nataka kuoa binti wa kipare. Naomba msaada wa kuwajua kiundani zaidi tabia zao. Naomba kuwasilisha wanabodi wenzangu. Mchango: Ndugu yangu...
4 Reactions
250 Replies
56K Views
Ukiwa unaakili zako timamu! Unapita pharmacy! Unanunua zako condom! Unaweka mfukoni! Unaelekea zako lodge! ! ! ! Unapima kwa macho, Unajipa majibu negative!!! Unapiga kavu kavu ..Unaunganishwa...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapendwa za mida? Hivi mmeshawahi kukutana na hivi visanga wadada? Una date na mtu anakwambia "Wewe ni mtu mzuri, una deserve mtu tofautia na mimi?". Hujakaa sawa, unatimiza wajibu kama umeolewa...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…