Ukifiwa na mke au mume huku ukiwa na watoto kuanzia wawili, ni vizuri usioe/usiolewe tena. Ni bora hamu zako uwe unazimaliza juu kwa juu lakini usikaribishe mtu kwenye mali mlizotafuta na mwenzako...
Nilisimulia kisa cha mimi kupigwa na wife na frying pan na remote jichoni. Wengi walinilaumu kuwa nilipaswa nimchakaze vibaya wife.
Soma Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...
Nisiwachoshe wananzengo direct kwenye point
Eti wakuu unapotaka kuoa mke ni kipi mhimu - mvuto wa kimapenzi au tabia na busara?
Mwenzenu ati akiwa na adabu vipi asiponivutia nahisi kitu...
Habari za humu wakuu, poleni na majukumh lakini tusichoke kumsaidi Rais kuipeleka nchi kwenye uchumi wa kati wa viwanda
Twende kwenye mada ni msichana wa mshkaji wetu flani hivi yaani haonekani...
Huyu demu sikubahatika kumlamba ile ipasavyo, kwa sababu mara zote alizokuwa anakuja gheto nikitaka kuanza kupiga game anajikunja kunja na kubana mapaja yake anasema dushe langu linamuumiza...
Maisha ya mjini yansikitisha sana
Nlikua stendi kwenye daladala, halafu ghafla akaja mdada mrembo ameshika pakiti kama 4 hivi za tambi za kukaanga..akataka kuniuzia nikakataa akageuka akaenda...
Habari wana jamii najitokeza humu kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.
Wasifu .miaka 33
Dini - mkristo kkkt
Elimu - kidato cha sita
Kazi - jobless
Makazi - dar es...
Wakuu inakuaje,pole na mihangaiko ya hapa na pale,,japo covid 19 kafifia kwa mbaal,,bado tuchkue tahadhari.
Nirudi kwenye mada,,agizo la muheshimiwa raisi la kurudi chuoni nililitekeleza ipasavyo...
Kwa wapenzi wa movies za Hollywood watakuwa wameiona hii movie inaitwa Indecent Proposal 1993.
Bilionea amewapa ofa ya Dola milioni 1 (zaidi shillingi Bilioni 2.2) kwa wanandoa ile alale na mke...
Kama imewahi kukutokea unaweza kushare experience yako na sisi
Niliwahi kwenda field mkoani ofisi flan hivi so wakati naendelea ikatokea secretary wa boss akawa rafiki yangu wa karibu mda wa chai...
Maisha ya mapenzia, kwenye ndoa, uchumba au girl friend and boyfriend kupigana chini ni jamno la kawaida.
Wanaume wengi kama upo over 25 of age ulishakumbana na hii kitu.
Je, wewe huwa...
Poleni kwa majukumu wakuu.
Kakangu ni mtu wa kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya biashara zake.na ninakoishi mimi na kakangu ni kama mita 80.na sababu ya mimi kwenda kuishi pembeni kidogo na...
Wandugu ni story ndefu ila kifupi ni kwamba nilipata mpenzi huyu ofcourse yeye ndio alinianza kunitafuta kwa group.
Acha niende kwenye point, nimekuwa nae mieizi miwili mpaka sasa lakini cha...
1. Utafiti unaonesha 98% ya wanaume waliotailiwa wakiwa chini ya miaka 3 vibamia wengi wana vibamia.....
2. Utafiti unaonesha 78% ya wanaume ambao mashine wameanza kuitumia wakiwa na miaka zaidi...
Nilitembelea mgahawa x kupata chakula ili nisijekufa kwa njaa, akatokea jamaa mmoja mtu wa miraba minne naye akawa amekuja kupata huduma ya chakula...kama mnavyojua tena, kula ni muhimu ili kuupa...
Kila kukicha nimekuwa nikisoma matangazo ya kutafuta wapenzi, wachumba, mke na mume,tena yanaongozana ladies na gentleman najiulizaga si mtafutane mambo yawe rahisi tu.
Lakini sijawai kusoma...
Wakuu habari gani?
Mimi nilikuwa na mahusiano na binti mmoja since 2014, nilirusha ndoano na mahusiano yetu yakaanzia hapo. Kutokana na harakati za maisha na nini, mimi nilitoka mkoa ule na...
WanaJF poleni na COVID-19. tuendelee kuchukua taadhari , wafanyakazi nawatakieni may mosi njema, wasio na kazi muendelee kutafuta kazi wala msikate tamaa mungu atajibu maombi yenu.back to the...
Wasalaam.
Ni matumaini yangu kuwa maandalizi ya xmass na mwaka mpya yamepamba moto na kila mmoja anatamani kuumaliza mwaka kwa namna yake.
Turudi kwenye mada,ni ukweli ulio wazi kuwa mahusiano...