Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

How To Check If a Girl Is Really Interested in You If you want to start a relationship with a girl, the first thing to do is to check if she's really interested in you. The problem is that body...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
...(No comment!) ========= Croatian footballer who had sex on pitch with glamour model wife Croatia international Dino Drpic and his wife Nives Celsius had intercourse on the centre spot of his...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimeshuhudia kuona mara nyingi katika mahusiano Mwanaume akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine, huwa mwenzi wake anaweza msamehe ila kwa sisi wanaume ukigundua mwanamke wako...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Mfumo wa mapenzi Afrika uko katika mazingira kama unabaka lakini sio ubakaji bali ni staili ya mapenzi hapa kwetu afrika, Waafrika wengi hasa wanawake wana mapenzi ya hardcore yaani magumu na sio...
5 Reactions
45 Replies
11K Views
Habari wana janvi. Mimi ni msichana nina miaka 27, kiukweli nimekata tamaa ya kuolewa. Kwa sababu wenzangu wote wameolewa. Na mchumba niliyekuwa namtegemea kuwa mume wangu. Ndo huyo hayupo...
66 Reactions
944 Replies
123K Views
Natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo,jinsia zote tu ilimradi uwe na mawazo chanya ,uwe mchapakazi
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Tokea Corona ianze hatujawahi kuonana na boyfriend wangu, Ijumaa iliyopita tumeonana. Sasa wakati tunasex akaanza kuniuliza maswali. Ati babe ulisema mwaka huu 2020 Tanzania imafanya uchaguzi...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wana JF, poleni na majanga yanayotusibu na naamini Mwenyenzi Mungu atatunusuru Ishallah . Nije mojakwa moja kwenye mada inayowahusu wadada wapenda kuolewa. Wewe mwanamke kutwa...
15 Reactions
113 Replies
12K Views
Wakuu Tuendelee kuchukua tahadhali na kujikinga dhidi ya COVID19. Ni wiki sasa imepita tangu nilipokutana na kushirikiana mwanamke mmoja hivi hapa Jijini Dar es Salaam Kiukweli nilimsukumia kitu...
9 Reactions
56 Replies
6K Views
Huyu mrembo tulipendana naye sana, Sasa kila uchao akawa anauliza wee baba unafanya kazi gani? Mbona tunakula na kuishi vizuri na wewe humu ndani hutoki? Basi mi nikawa namjibu kwamba nina hela...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za leo wandugu, Dunia hii kuna wengine hawajawahi kabisa kuishi katika nyumba za kupanga, wengine maisha ya uswazi hawayajui kabisa, basi leo nimeona tuangalie maisha katika nyumba za...
26 Reactions
285 Replies
68K Views
Habari wakuu, Nimeona wataalamu wakishauri miongoni wa njia za kuamua jinsia ya mtoto ni kutumia Calendar au mzunguko wa hedhi wa mwanamke unayepanga kuzaa nae. Najua si 100% itakupatia matokeo...
7 Reactions
142 Replies
17K Views
Mpende mke wako mzuri Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana. Mithali 15:1 Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile ambacho unamuita Mwanzo 2:19 Usimpe mwanamke...
26 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari zenu Jf. Kuna mtindo baadhi ya wazazi kuwapokea mabint zao wanaporudi kutoka kwa waume zao sababu ya migogoro. Wanapofika wanawapa hifadhi bila hata kuwauliza kilichowaleta matokeo yake...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
1. Usipokee simu ukiwa na mchepuko/mke wa mtu (unaweza kuwa unafuatiliwa) kupitia mnara wa karibu wa kampuni ya simu husika. 2. Usitumie gari yako inayofahamika (Chukua Taxi/UBER/Bajaj/Boda boda)...
9 Reactions
93 Replies
14K Views
Habari wakuu, Bila kupoteza mda hebu nijikite kwenye mada Jamii yetu imezungukwa na utamaduni tofauti katika kukuza na kulea watoto, wapo wanaoamini kuwa hatupaswi kuiga tamaduni za kimagharibi...
1 Reactions
2 Replies
996 Views
Salaam Chukulia mpenzi wako amekuambia anataka umsaidie ajiunge na Jamiiforums. Kwanini huwezi kumwambia ajiunge JF ili na yeye apate kufaidika na mambo mbalimbali? Je, kipi bora kama akijiunga...
8 Reactions
78 Replies
6K Views
Dear Woman/ Girl / Lady I am looking for a woman or girl / lady who is serious and want to establish a strong bond and stable relationship that may end up with marriage between us. Preferably...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Poleni na Majukumu Makamanda, Najua wengi wetu katika umri huo wa miaka 25 ndio tunamalizia chuo na wengine wakiwa bado wanasoma, Ndugu zangu Najua mna ndoto ya kufika mbali kimaisha kwa...
19 Reactions
79 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…