Hii mimba sihusiki nayo kabisa...

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Wakuu

Tuendelee kuchukua tahadhali na kujikinga dhidi ya COVID19. Ni wiki sasa imepita tangu nilipokutana na kushirikiana mwanamke mmoja hivi hapa Jijini Dar es Salaam

Kiukweli nilimsukumia kitu pekupeku maana sijazoezoa habari za kula pipi na ganda lake. Specifically ilikua 27 April, leo hii zimepita siku saba napokea jumbe ikitoka kwa mwanamke huyo kupitia wasap akiambatanisha na picha ya kipimo kwamba anayomimba, basi kiuanaume nikajisemea sawa na kuanza kuuliza maswali juu ya mimba hiyo kama ifuatavyo

Mimi: Ulitakaiwa uanze period lini?
Yeye: tarehe 28
Mimi: hii ni mimba ya aina gani iingie siku moja kabla ya kuanza hedhi?
Yeye: Ndio hivyo hii ni mimba yako
Mimi: sawa, lakini niambie mzunguko wako wa hedhi mwezi wa tatu ulianza na kumaliza lini
Yeye: nilianza tarehe 26 mpaka 29, hivyo mwezi april nilitakiwa nianze tarehe 28 na sijaona siku zangu mpaka leo na vipimo ndio hivyo
Mimi: kwa mzunguko wako huo, unazifahamu siku zako za hatari na kushika ujauzito?
Yeye: ndiyo hiyo tarehe 27 mimba iliingia
Mimi: Nenda kasome biology ya form three upya mama ndio uje tena uniambie hio mimba mmiliki wake ni nani
Yeye: Yaani najuta kukupa penzi langu hapa sijielewi nifanye nini
Mimi: tuliza akili umtafute mmiliki halali wa kijusi huyo

Wakuu wa JF hivi mimi nimekosea kwa majibu hayo au nimefanya makosa kuikataa hii mimba ya siku moja kabla ya hedhi?

Kwa hali hii wimbi la single maza halitaisha na wanawakw mtaendelea kutuona wanaume wabaya kumbe siyo

NB: Huyu mwanamke alinisumbua sana kama miezi mitatu namfukuzia na aliniwekea ngumu kunipa papuchi yake, siku hiyo alijilengesha kiulaini tu akakubali na kutoa mzigo, najaribu kuconect dot hapa alikuwa na mambo yake au
 
Kuna wakati theory inafail so cha msingi mwambie kama ana uhakika mimba Ni yako ailee mpk ajifungue baada ya kujifungua mkapime DNA kama c yako utaona atakavorespond negatively tena ka maneno makali ila kama Ni yako atareply vzr tu
 
😳
Dah! Mkuu nitakuajili hizo hesabu za siku za hawa bidada unazijulia hapo mi sijaelewa chochote sema kweli 😅
Naona tarehe tu mara mzunguko mara siku mara mimba😅😅
Hili ni somo na linahitaji muda sio siri
 
Kuna wakati theory inafail so cha msingi mwambie kama ana uhakika mimba Ni yako ailee mpk ajifungue baada ya kujifungua mkapime DNA kama c yako utaona atakavorespond negatively tena ka maneno makali ila kama Ni yako atareply vzr tu

Mkuu hata kama theory inafail lakini sio kwa kiwango kikubwa hivi, sina uhakika kama kuna mimba inaweza tungwa siku 1,2 au 3 kabla ya kuanza period.

Jamaa alimuuliza maswali yaliyoenda shule, natamani kujua elimu yake huyo dada au aliamua kumbambikia makusudi.
 
Back
Top Bottom