proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,356
Habari za asubuhi wana JF, poleni na majanga yanayotusibu na naamini Mwenyenzi Mungu atatunusuru Ishallah .
Nije mojakwa moja kwenye mada inayowahusu wadada wapenda kuolewa. Wewe mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikiria kwanini kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa na majini eti? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama kuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia. Ndio nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa [emoji23]
We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani? Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia.
Mwanamke mzima bila haya unaenda kwa mwanaume wako unafika na kuanza kulia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku,kwa mazingira haya anawezaje kuanza kufikilia kuuliza posa kwenu? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa.
Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu zenu kumbe pesa ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja.
Sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss! Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea?? [emoji3][emoji3] sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo [emoji23][emoji23][emoji23] aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa!
Pendeni hela tuwazeeshe. Na mtapata tabu sana.