Tafadhali naomba TUPEANE uzoefu kwa wale waliokuwa kwenye mahusiano , lakini mahusiano yao hayakwenda kama walivyotarajia.
Je, mlio vunja uhuano mlikuja KUJUTA baadae? Nini kilikufanya umrudie...
Wanawake wakikaa pamoja kwenye mazungumzo yao stori zinazotawala ni kuhusu wao wenyewe (kusengenyana). Pili kuhusu wanaume mwisho kabisa kwa uchache kuhusu maisha na jinsi ya kujiongezea kipato...
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia, unamfulia nguo, halafu kwa ujinga wako unampa na mapenzi moto moto.
Unajikunja mwenyewe kama kambale kwenye sex mtoto wa...
Kuna siku nilimpigia mpenzi wangu simu, akasema subiri nikifika Nyumbani nitakupigia nimemsindikiza dada kazini kwake hapa Mlimani City mara moja, alipokea kana kwamba ana wasiwasi, na ukizingatia...
Kuna wakati tunaachana na wapenzi wetu kwa sababu mbalimbali,wengine ni kwa wema wengine kwa shari.
Aliyekuwa mpenzi wangu nilitengana nae ananiombaga sana vijipesa vidogo vidigo,kukweli kuna...
Kwa mfano, mwanaume akiwa na umri mdogo kuliko mwanamke, au mahusiano ya kimwili tu si mapenzi (friends with benefit) au ukute ni kuwa partners pasipo na drama au mahusiano ya kimaslai (sugar...
Natumai hamjambo wakuu
Wakuu kama una watoto wa kike basi pita hapa panaweza kukufaa, binti yangu alipotimiza miaka 6 nilitafakari nifanye kitu gani kumnusuru na mabaharia atakapobalehe ili...
Kuna shosti wangu yaani akilala na mpenzi wake lazima aje anielezee ilivokuwa. na sio ananaieleza mimi tu hata beki tatu wake huwa anampa hizo story, ilikuaje, walianzaje, kapigwa vingapi...
Ni binti wa baba mwenye nyumba under 18 na sasa wanamhoji kwa kina,
mbaya zaidi jioni mi nilitoka na yeye pia alitoka na alinipigia simu ila sikujua kama ni yeye na wakati wa kurudi ni kama...
Joto la mwili ni muhimu mno kwenye kuchochea hisia za mapenzi, mara nyingi utasikia mtu anakuambia, joto lake tu latosha! Unamhug mtu unahisi kabisa jinsi mwili wake ulivyo wa moto unahisi...
Wanawake wana silaha moja kubwa sana 'meno' na wanajua kuitumia vilivyo, meno yana sumu mbaya na jeraha la meno huacha alama au kovu la kudumu kwenye mahusiano daima kutoelewana...
Mwanamke unapomfanyia visa mwanaume tambua ipo siku utajuta kwa uliyoyatenda, nimeamua kubreak up mahusiano baada ya kushindwa kuendelea na vituko alivyokuwa ananifanyia. Leo ndo ameniona wa thamani.
Kama wewe ni mwanaume una miaka 25 na una date na mwanamke wa miaka 30 jua hapo wewe mwanaume ndio umepatwa!
Na kama wewe ni mwanamke una miaka 19 na una date na mwanaume wa miaka 30+ jua wewe...
Hivi nimeshakutana na watu kama watatu wakiliona suala la wenza wao kuwa na urafiki sana na wanaume kuliko wanawake. Kisingizio wanawake hawapendani. Nao wanaridhika kabisa
Kuna kuwa kuna urafiki...
Hili ni kabila linapatikana pale Mbeya mjini kama umewahi kuishi huko itakuwa ushawafahamu aloooo hawa watu ni wapole sana na ni wachapakazi balaa na ni wavumilivu sana katika mapenzi huwa sio...
Hatari: Aina 10 za Wanawake Ambao Mwanaume Hafai Kuwa na Uhusiano Nao Zaidi ya Kujitakia Matatizo.
Japo kila mtu anakasoro zake ila kuna tabia ndogo ndogo ambazo huleta maharibiko kwenye...
Wakuu salamu.
Kuna mpenzi wangu mmoja hivi wa muda mrefu kidogo, yeye yupo kwake na mimi nipo kwangu.
Sasa, sometimes naona kama vile hatupendani kivileee, so nikaamua nitafute mpenzi mwingine...
Nakumbuka ilikuwa siku ya Boxing Day miaka ya nyuma kidogo enzi hizo nikiwa sekondari kidato cha nne nilikuwa na mpenzi jirani yaani hatua chache kutoka nyumbani kwetu. Kutokana na kutamani...
Usingizini mbaya sana hasa unaoambatana na ndoto za kuongea.
Mke wa jamaa yangu hapa Kiwira, Tukuyu Mbeya ameota kwa sauti akisema "John uume wako mnene" huku jamaa haitwi John anaitwa...