Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu najua wengi tumekutana na situation ya kubishiwa hodi tukiwa mchezoni. Je, kwa upande wako ulifanyaje ilipotokea? Ulikatisha mchezo or uliendelea mpaka ukamaliza game?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mke wangu haniamini huwa anadhani nikichelewa nyumbani nje ya saa mbili usiku anajua niko nyumba ndogo. Ushauri jamani
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wana MMU, bila shaka mko poa, Mwenzenu ninataka kumuweka shemeji yenu ndani mwezi wa 12 mwaka huu, tumekubaliana harusi ya gharama ndogo ila sasa kijana wenu sijui makadirio ya harusi ndogo ya...
2 Reactions
44 Replies
12K Views
Kuoa mapema kwa kawaida hapa bongo tunaongelea kwenye 20 - 26 au hata kama ulikua beyond 30 tupe ushuhuda wanajukwaa hali yako ya kiuchumi ilikuaje wakati unaoa na baada ya kuoa. Pia, unafurahia...
14 Reactions
98 Replies
14K Views
Wanaume tukumbuke hakuna tuzo ya mgegedaji bora. Wapo waliojipa tabia kama ya mbwa; yaani unakuta mtu hakubali mwanamke kukatiza mbele yake, iwe ni mke wa mtu au la, lazima atongozwe!! Bad enough...
43 Reactions
113 Replies
8K Views
Nawasalimu dada zangu nyote popote mlipo, amani iwe pamoja nanyi. Mimi mdogo wenu nimeamua kuchukua maamuzi ya kukuandikieni barua hii baada ya kuguswa na magumu ambayo mmekuwa mkiyapitia ambapo...
15 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani najikuta nipo kwenye mahusiano ambayo ni haramu kwa sasa hayafai ata kutambulisha ndugu. Nimepata mwanaume mwislamu jamani japo ana mapenzi yote ila ili, suala linanipunguzia hata hisia za...
3 Reactions
241 Replies
12K Views
Nina mke na watoto wawili mmoja ni kichanga wa miezi 3. Sasa basi,ipo changamoto inayonikabili kwa mimi na mwenza wangu mara zote kila niwapo katika kubangaiza kwangu kwa ajili ya kupata chochote...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kila anayechumbia anakuwa na malengo na mipango yake na sifa alizojiwekea kuwa lazima nioe au nioelewe na mtu mwenye sifa kadhaa!! Je unaweza kumuacha mtu wako kisa maneno ya wanaosema hata kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tuzungumze Hivi wake za watu wawe matajiri au masikini, wawe wamesoma au hawajasoma, weupe au weusi, wanasali na kuswalia au hawasali, vijana au wazee wamekuwa katika usaliti mkubwa sana Hivi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mahusiano mengi yanavunjika kutokana na kutokujua nini kinatakiwa kwenye mahusiano. Wengine wanaamini kuwa kwenye mahusiano ni kuvaa sare, kuwa kwenye usafiri mmoja, kuwaaminisha watu wa nje kuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu bila shaka hamjambo! Kuna mzee kaniambia kijana siku hizi ndoa zenu mkigombana mwezi unaisha hamjapatana. Hii ni ajabu sana. Nikamuuliza kwa nini mzee, akasema tatizo ni aina ya nyumba na...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari ya jioni wakuu,niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo katika harakati za kuoa miaka miwili ijayo ila cha kushangaza huyu mwanamke anadai kuwa nikimuoa, itabidi na mimi nishiriki kazi za...
10 Reactions
77 Replies
9K Views
Habari za saa hizi wana JF ni matumaini yangu mu wazima, kama kichwa cha habari yenyewe kinavyojieleza, binafsi nitoe stori yangu na nikaribishe wadau wengine nao waelezee zao. Ilikuwa mwaka...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Lazima ujiulize kwa nini kosa la mwanaume wako limekuwa sugu. Mara nyingi kosa la mwanaume huwa sugu na huona unaonewa ama kutendwa sana, lakini pale unaposhindwa kusamehe ndipo hapo kosa huanza...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam kwenu wakulungwa Baada ya kuishi kwenye mahusiano na mama watoto wangu kwa miaka 8 bila ndoa nimefikiria kufunga ndoa ya kiserikali. Nimeamua hivi ili kila mtu anendelee na imani yake kwa...
2 Reactions
84 Replies
25K Views
Salam. Hivi wakuu kuna jambo hili Unagundua mzazi anakusema pembeni kwa watu wa nje ya familia yenu, utasikia "fulani huyo kwani huwa ana akili?" Huyo huwa ni mpuuzi tu, Ukizingumza naye...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Tahadhari, Sio vibaya mpenzi anapatikana popote lakini kuna baadhi ya mazingira yatakuja kuakisi hatima ya maisha yenu hapo baadae. Chukulia mke umempata bar ulipoenda kupata moja baridi moja...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna wakati ambapo unakataa hisia za mtu kwa sababu hujavaa viatu vyake. Hii inasababisha azidi kuchanganyikiwa zaidi hata kama ana akili njema. Wakati mwingine unaweza kujifanyia jambo hilo...
1 Reactions
3 Replies
675 Views
Jana nilivuta demu geto, so tukaangalia movie then nikaenda zangu kuoga ili nijiandae na kulala. Wakati wakulala Mimi huwa hutumia dakika 3 tu nakuwa nimesha maliza, akauliza ndo nini mbona...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…