Huwa unafanya nini ikibishwa hodi wakati wa gegedo?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Wakuu najua wengi tumekutana na situation ya kubishiwa hodi tukiwa mchezoni. Je, kwa upande wako ulifanyaje ilipotokea? Ulikatisha mchezo or uliendelea mpaka ukamaliza game?
 
Kuna siku nilikuwa katkat ya game...simu ikaita...nkapiga jicho pembe kuangalia....!!mpigaji hakua wa maana...nkaipuuzia....!!

Kwanza unajua mwenzio ana mgen unaanzaje kugonga....mimi hua nafanya kama sjasikia...mpaka kaz iishe
 
Kama ni mchana nikitoka baadae nasema nilikua nimepumzika, ila kama ni usiku wanajua ni muda wa kulala na kama una mke ni muda wa kunogesha penzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom