Mke wangu ana wivu, naomba ushauri

TOM KENYARES

Member
Jun 3, 2020
19
8
Mke wangu haniamini hata kusimama tu na mwanamke yeyote kupiga stori zozote hiyo ni marufuku kwangu. Ushauri tu ndio shida yangu ndugu zangu
 
Hiyo too much sasa mkuu, sasa utaishije hapa duniani...usimtii kwa kila kitu ila mhakikishie usalama wake na kweli usimsaliti, wangu ana wivu sana na haniamini, ila kwa hakika tangu nimuoe sijamsaliti kwahiyo roho hainiumi! Huwez ishi bila watu wengn...endesha ndoa wew usimuachie mkuu
 
Vumilia tu mkuu, pia jiepushe kuongea na manawake hovyo, kupendwa kuna gharama zake ndio ulipie tu hakuna namna japo najua ni changamoto sana.
Na wana tabia ya kupenda ugomvi pasipo sababu ndio raha ya mwenye wivu uliopitiliza.
 
Nadhani huyo mwanamke atakua hana shule wasio kwenda shule ndo hua na mambo hayo...
 
Back
Top Bottom