Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Happy fathers day...
Kwa wale mlioa, tunaokaa na wachumba zetu au wapenz zetu kuna mada hii inatuhusu. Eti kuna haja ya kuacha pesa ya matumizi kwa mkeo/mpenzi kama ndani kila kitu kipo? Mfano fridge ina kila kitu, mchele sijui unga upo yan takataka zote zipo yaani yeye ni kupika tu
Sasa nauliza kuna haja ya kumwachia pesa? Na kama unaacha uache kiasi gan?
Wale wazoefu tusaidiane.