Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Bila shaka wote mnaendelea vizuri na majukum yenu
Mimi nina taka kujua mapenzi ni nini? Kwasababu nikipata mgegedo baadaye kidogo naanza kujisikia sina amani, roho inauma, hapa kwenye moyo kunauma. Najikuta nachukia mapemzi, sasa ndio nashindwa kuelewa ni nini hasa haya mapenzi yanamaanisha, labda mimi si wa kawaida.
Nikikaa bila kufanya mapenzi ninakua na amani na nguvu, nakua najisikia kabisa mwili una nguvu