Kupata UKIMWI ni bahati kama zilivyo bahati zingine

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu.

Wakuu mimi nina kawaida ya kuuza mechi kila napokutana na pisi kali niloielewa kupita kiasi, katika kuuza kwangu mechi mara kadhaa nimekutana na mafundi wakuzungusha uno na kusababisha msuguano mkali ambao huleta una michubuko sehemu za siri.

Michubuko hii hunitia hofu sana hadi kufikiri nimeukwaa hata nikaamua kupima mara kadhaa ilikujua afya yangu but mara zote nimejikuta nipo sawa, hii hali imenifanya niamini kabisa kuwa kupata UKIMWI ni bahati sana na sio kama inavodhaniwa na wengi.
 
Siku ukibahatika kwenda kupima kwa bahati mbaya au nzuri ukawaona wale waliokaa kwenye semina idadi yao na jinsi walivyo utaelewa tu

Au kwa wale waliopata bahati sjui mkasa vyovyote vile ya kwenda kuchukua dawa PEP pale dirishani kwa upande unahusiana na hayo masuhala hizo pisi zinachokua Njugu mawe utaelewa tu

Siku umeenda kupima popote pale zahanati,au upo ghest umempima manzi au wewe na kile ki aid tester Mara paap inajichora mistari miwili kwenye zile herufi C ,D ndo utaelewa tu mziki ukoje

Siku umeenda kupima upo kwenye benchi unaskia mtu anaangua kilio au anatolewa mtu kabebwa amezimia utaelewa tu
 
mkuu kwani we ushapata? mbona unalalama sana
 
ndo maana nasema ni bahati, asilimia kubwa wanaongonoka sana hawapati
Nenda Kahama, Njombe, Geita, tombaa wanawake 7-10 .. utanipa mrejesho.

Maambukizi ya huu ugonjwa hutegemea mambo mengi sana.

Kwa mfano upo eneo ambalo kati ya watu 20 , 1 ndo mgonjwa... hapa unaweza jikuta unapiga weee lkn hupati mpaka unajiuliza unann???

Lkn unaenda mahali , kati ya watu 10 , 4 wanao, hapa ukiruka kidogo tu unaunganishwa.

Kwann basi watu wanaonywa kua na wapenzi wengi.? Kwa sababu kadiri unavyoongeza idadi ndio unazidi kumsogelea na hatimaye kumfikia mwenye umeme.

Lkn pia kuna suala la aina ya ngono mlofanya, na staili nanan mwenye maambukizi .

Kwa mfano, Mwanaume - anayemtombana na mwanamke + kwa staili kama za kifo cha mende yaan stail ambazo mwanamke yuko chini chali, basi hapa kwa ngono ya kistaharabu sio rahisi.
Lkn huyo huyo mwanaume, Akiwa chini alafu mwanamke akawa juu yake anajipimia, basi uwezekano wa kunganishwa ni mkubwa sana sababu maji ya uke ya mwanamke nirahisi kupenya kuingia ndani ya mrija wa shahawa nakusababisha maambukizi hata bila michubuko.
 
Acha masihara..

Yes ofcourse,kupata HIV sio that simple,lakini ukikutana na mwenye nao na ukajisugulisha hakika utaondoka nao..Usiloweke kila sehemu
 
Nenda Kahama, Njombe, Geita, tombaa wanawake 7-10 .. utanipa mrejesho.

Maambukizi ya huu ugonjwa hutegemea mambo mengi sana.

Kwa mfano upo eneo ambalo kati ya watu 20 , 1 ndo mgonjwa... hapa unaweza jikuta unapiga weee lkn hupati mpaka unajiuliza unann???

Lkn unaenda mahali , kati ya watu 10 , 4 wanao, hapa ukiruka kidogo tu unaunganishwa.

Kwann basi watu wanaonywa kua na wapenzi wengi.? Kwa sababu kadiri unavyoongeza idadi ndio unazidi kumsogelea na hatimaye kumfikia mwenye umeme.

Lkn pia kuna suala la aina ya ngono mlofanya, na staili nanan mwenye maambukizi .

Kwa mfano, Mwanaume - anayemtombana na mwanamke + kwa staili kama za kifo cha mende yaan stail ambazo mwanamke yuko chini chali, basi hapa kwa ngono ya kistaharabu sio rahisi.
Lkn huyo huyo mwanaume, Akiwa chini alafu mwanamke akawa juu yake anajipimia, basi uwezekano wa kunganishwa ni mkubwa sana sababu maji ya uke ya mwanamke nirahisi kupenya kuingia ndani ya mrija wa shahawa nakusababisha maambukizi hata bila michubuko.
Maji ya ukeni yanabeba virus?
 
Mkuu hiyo njia shahawa zinapotokea sio one way traffick??

Vaginal fluid(secretions) zinachance kiasi gani ya kubeba HIV?
 
Back
Top Bottom