Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heko kwenu wadau wa MMU, Niko hapa nyuma ya ngamizi nawaandikia wanaume wenzangu kwa kuwakumbusha tu kuwa;- ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI, usijifanye superstar wa kuendekeza hisia tu bila kufikiri...
14 Reactions
194 Replies
17K Views
Kama uzi unavosema yaani miaka hii ukiona binti kashika mimba yako adi kakuzalia mtoto basi jua unapendwa sana Nasema hivi kwa sababu mabinti wamekua wajanja sana yani kumuotea goli binti sio...
2 Reactions
108 Replies
8K Views
Hey Pals,,, I hope mko good Ryt,,,, okay Freshhhhh Leo niliamua nipite Igunga kumsalimia Bibi nikiwa nimetoka zangu Dar, Hapa kwa bibi naweza sema ni sehemu ambayo nimefanyia likizo zangu...
80 Reactions
156 Replies
18K Views
Nmeshangaa sana na hali inayoendelea ambayo miaka yetu sisi vijana haikuwepo. Nmekuwa nikilalamika sana na kutoa mifano ya watoto wakiume/wavulana wanavyoishi. Mwaka flani nakumbuka hadi kwenye...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
DALILI 9 ZA MTUMWA WA NGONO 1. Akili yako imejaa picha za ngono, na ubongo wako umejaa mawazo ya ngono. 2. Uwezo wako wa kufikiri umeshuka hadi chini ya asilimia 5, na uwezo wako wa hisia...
23 Reactions
29 Replies
6K Views
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na uhusiano na mwanamke au mwanaume ambaye ni rafiki Huwa inatokea mwanaume na mwanamke wanakua marafiki wa ukweli na kujuana ndani na nje na uswahiba ulioshiba sasa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wanajamvi. Wakuu kunako harakati za kuchepuka tunakutana na mambo mengi ya kustaajabisha hivo nikaona nianzishe uzi wa kushare baadhi ya mambo hayo... Kwa upande wangu...
14 Reactions
27 Replies
5K Views
Daaah!! Kama zali vile kuna beki tatu hapa nyumba jirani mtoto tako linavutia balaa Ila sura ya kawaida..nimemtupia ndoano kanasa Jana hapa namvutia kasi baada ya week mbili naanza kula...
16 Reactions
78 Replies
13K Views
TYPES OF SPIRITS OF DELAY IN SOME SINGLE SISTERS. 1. Boyfriend. This is that spirit that will keep scaring true, serious, and well-meaning suitors away because they'll be thinking that the...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Kwa mrembo aliye tayari natafuta dada wa kuzaa naye, awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 35. Mimi binafsi nina 38 na nina kazi nzuri ya kuweza kumhudumia mtoto. Nimeoa. Kwanini nataka mtoto nje ya...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Suala LA kuchepuka ni moja Kati ya mambo mabaya Sana ktk ndoa au mapenzi yoyote Yale,lakini wakat mwingine limekuwa ni suala gumu kuepukika kutokana na sababu mbalimbali zinazotofautiana Kwa kila...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Jamani mshawahi kufanya utafiti wakati wa ujauzito wa wakinadada/mama. Wana aibu sana hasa ukimwangalia tumbo lake. Kwanini waone aibu wakati mimba ni Jambo la kawaida?
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habarini, hii ni story ya kweli iliyonitokea na hili jambo linanipelekea kukosa amani na kuwa mtu wa stress sanaa. Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuongeza elimu katika chuo...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni jamboo moja unaweza hisi la kawaida lakini limetesa ndoa nyingi sana sana mno bila wao kuzijua. Wapo walioshtukia lakini walishapigwa sana hata amani hakuna tena ndoa src yale mabox...
7 Reactions
10 Replies
3K Views
Amani ya iwe juu yenu wana JF straightforward Wazazi wanakaa nafasi ya pili baada ya mungu hapa dunia,dua yoyote ya mzazi kwa mtoto wake inakubaliwa na mbingu (Hivyo hio sehemu ya maombi/dua za...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Kuna jamaa angu tunafanya naye kazi, sasa jana kaja ana simu ndogo mpyaa nikamuuliza vipi ndugu simu yako ile smart ipo wapi? Jamaa akasema demu wangu alikuta msg za mademu wengine akaivunja kisha...
10 Reactions
192 Replies
21K Views
Wakuu habarini! Katika maisha yangu sikutegemea kuoa kama nilivyofanya kwa sasa. Kisa kipo hivyo,kuna Dada mmoja nilianza nae mahusiano kama MTU na mpenzi wake,yeye alikuwa amepanga chumba chake...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wadau wa MMU!! kuna tabia hua inazngua knoma kutoka kwa baadhi ya madem, hiv mtoto wa kike unawezaje kupanga safari kutoka kwenu/ kwako unaenda kwa mshkaj ukiwa Mp, unataka kugundua nn...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…