Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari JF! Tulioachwa ebu tujifunze sababu za kuachwa ,maana wengine tunaachagwa tu bila hata sababu utasikia tu unapiga sim haipokelewi au akipokea anakwambia piga baadae mpk miezi inakata ...
2 Reactions
145 Replies
14K Views
Natumai hamjambo wakuu. Leo nimependa kushare nanyi jinsi ya kumpata wife material and husband material, ikiwa upo kwenye prosses ya kuoa/kuolewa basi tumia njia hii kumpata mwenza sahih... 1...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Allah alivyotuweka wazi kuwa WANAUME NI WASIMAMIZI WA WANAWAKE. Si tu aliwapa ukichwa tu mjimwambafy. Ni kwamba mtakuja kuulizwa juu ya usimamizi wenu. MAANA YAKE MWANAMKE AKIYUMBA TU UJUE...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
THE TRUTH ABOUT SEX .. There is something both the aged and the infant do not know anything about. The church also has closed her eyes on this particular issue. Nobody wants to talk about it but...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Kwa upande wangu visa ni vingi ila kimoja iliikuwa hivi: Mwaka 2011 nikiwa naelekea chuo gari yetu ilipata ajali baada ya mahangaiko ya hapa na...
10 Reactions
68 Replies
8K Views
1. Ukiwa mfupi halafu mweusi halafu una kitambi.kwa utafiti niliofanya nimegundua mademu hawawazimikii wanaume wafupi.yaani hisia zinakuwa ziko mbali 2. Ukiwa na watoto kuanzia wawili.kama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF popote mlipo Natumai Bukheri wa Afya nyote, Kama kuna wagonywa Mwenyezi Awape Hafueni. Wakuu Nina demu wangu mmoja mwezi mmoja uliopita alinitaalifu kuwa anataka kutolewa, na...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
mim n msichan wa umr wa miak 22. Nafanyakaz ktk kampuni ya chakula. Mume ninaemtak awe kam mm und kuanz 24 -28 ambae yuk tayar aniPm
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari za mchana jf? Jamani naomba kuwauliza wazee wetu mlioko JF, Hivi mliwezaje ama mnaweza vipi kuishi na wake (wives) wawili n.k kwa miaka nenda rudi bila ndoa kuvunjika vunjika? Vijana wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu;Nimeoa mwanamke ambae ana mtoto 1. Wakati wa mwanzo wa uhusiano wetu,nilielezwa mikasa kibao kuhusu huyo mzazi mwenzie alivyomfanyia hadi wakatengana. Alionyesha ni mtu...
4 Reactions
107 Replies
18K Views
It's sad as a man if you can't give your woman enough of what she wants, which includes satisfaction in the other room 😉. Many men today go through this same problem of quick ejaculation and low...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama mnavyojua katika mahusiano baada ya watu kuwa mme-break up au kuachana kuna vitu vya kujifunza sasa hebu tushirikishane kitu gani ulichojifunza Mimi upande wangu nilichojifunza katika...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu. Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Hi everybody, Hope mnaimalizia weekend yenu, poa kabisa. Hakika wapo watu wanaoendelea kuteseka kihisia, juu ya wenza wao ambao tayari walisha achana. Almaarufu kama X Sasa nami nikaona, sio...
6 Reactions
118 Replies
13K Views
Jamani wazazi wenzangu tuwe makini na hawa wadada wa kazi wa majumbani, hapa Tabata Kimanga karibu na kanisa la Anglikana kafariki mtoto wa miezi sita, na msichana wa kazi kakiri na kusema kwamba...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau nina jamaa angu kaoa mwanamke wa tanga(msambaa) duu ni kwamba awa ni watu wa ajabu sijapata kuona hawana aibu kabisaa kama mnavyojua maisha ya sisi vijana ya kuungaunga wana watoto wawili wa...
18 Reactions
134 Replies
15K Views
Kila mzazi angependa mtoto wake awe na ufahamu mzuri. Hapa tunaongelea uwezo wa mtoto kudadisi mambo anayokutana nayo, kuchakata taarifa anazoziona kwenye mazingira yake na kufanya maamuzi yenye...
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna siku moja katika pitapita za mitandaoni nkakutana na interview moja Diamond Platnumz sikumbuki alikuwa anahojiwa na mtangazaji gani ila alikuwa akiulizwa maswali kadhaa kuhusu ngoma zake...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Wadau miongoni mwa vitu sipendi ni kumtafsiri /kumuelewa mtu tofauti. Kuna mdada (workmate) ambae ni katika wenyeji walonipokea na kunifundisha pamoja nakunionyesha mazingira ya kazi kazini...
1 Reactions
118 Replies
26K Views
Natumai hamjambo wakuu. Kwenu wadada, ukishajua mwanaume unamtaka akikutongoza usilete mambo ya sitaki nataka coz sie wengine hatujuagi kutongoza kwa kubembeleza. Wiki ilopita nilimtongoza...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom