Hawa watoto wadogo wanatukatili sana

Tumieni hii style mtoto hawez kusikia kelele
tapatalk_1592667499569.jpeg
 
Wanasayansi wanadhani kuwa vitoto vinaliaga makusudi ili kupunguza uwezekano wa kuzaliwa katoto kengine kabla hiki kilichopo hakijakomaa sawasawa
 
Mkuu mtoto akilia nawewe unalia inakuwa ngoma droo mke ananyamazisha wote mtu mkubwa na mtu mdogo..😜
 
natumai hamjambo wakuu.

katika maisha ya ndoa hakuna furaha na ufahari kama kujaliwa familia bt hawa watoto zetu wakiwa wadogo mara nyingi sana wamekua wakitukatili tukiwa kwenye yale mambo...

utakuta romance imeshika kasi or mpo kati kati ya game kinaanza kulia weee, kama unavowajua wanawake akilia mtoto tu kila kitu hapo kishaharibika mpaka mtoto abembelezwe na kulala ndo muanze upya...

ukweli hii ni kero isiyokua na utatuzi japo hua tunaboreka sana nyakati hizo.

mpira naurudisha kwenu wananzengo.
nikiwa mdogo, mi mtoto was pili kuzaliwa so nilikua na sista mkubwa tu Ana Kama miaka kumi nilikua yani I grew up knowing kwamba WAZAZI wangu lazima waoge pamoja, sikuelewa na nyumba ilikua kubwa tu ila tulikua na Uhuru was kuingia chumbani kwao freely bila kugonga,sikuelewa, sikujali, ila nimeoa ndio naelewa Mana 70% ya tendo la Ndoa tunafanyanyaje under shower bafuni ili tusipate usumbufu was watoto.
Nikushauri muwe mnafanyia bafuni Kama Kuna privacy sio bafu za jumuiya. Kama Ni za hivyo Basi wahi saa nane Tisa watoto saizo usingizi hua Ni mzito halafu fanya Kama mpo uchumba, siku ukivunja mpeleke wife lodge atafurai Sana, ama watoto wapeleke kwa WAZAZI ama marafiki wanaowapenda, unaezamwambia mtoto leo unaonaje ukilala kwa kina flani, ambao WAZAZI wake mnafahamiana has a Kama Ni washenga wenu waliowasimamia Ndoa,mtaongea nao kiutu uzima wataelewa, has a Kama mmegombana na unaona mpini tu utarekebisha mambo
 
Hatari sana
 
Natumai hamjambo wakuu.

Katika maisha ya ndoa hakuna furaha na ufahari kama kujaliwa familia bt hawa watoto zetu wakiwa wadogo mara nyingi sana wamekua wakitukatili tukiwa kwenye yale mambo.

Utakuta romance imeshika kasi or mpo kati kati ya game kinaanza kulia weee, kama unavowajua wanawake akilia mtoto tu kila kitu hapo kishaharibika mpaka mtoto abembelezwe na kulala ndo muanze upya.

Ukweli hii ni kero isiyokua na utatuzi japo hua tunaboreka sana nyakati hizo.

Mpira naurudisha kwenu wananzengo.
Vinafanya Hivyo ili msije mkatiana mimba mkaleta mtoto mwingine akapendwa zaid yake
 
Back
Top Bottom