Mambo ya kustajabisha tunayokutana nayo kwenye harakati za kuchepuka

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wanajamvi.

Wakuu kunako harakati za kuchepuka tunakutana na mambo mengi ya kustaajabisha hivo nikaona nianzishe uzi wa kushare baadhi ya mambo hayo...

Kwa upande wangu nimekutana na mengi bt nilistaajabu zaidi nilipokua nachepuka na dada mmoja wa kilokole, huyu dada alikua akipiga maombi sana kabla na baada ya gegedo...

Nilimwambia kuchepuka ni dhambi iweje afanye maombi? alijibu kutenda dhambi ni udhaifu wa mwanadam bt sio sababu ya kuacha kumtumainia Mungu, sikuwa na lakusema bt nilibaki nastaajabu tu kwa majibu yale.

Karibu nawe kushare tukio la kustaajabisha ulokutana nalo kwenye harakati za kuchepuka.
 
1.Kubebwa
2.Kuogeshwa na maji yenye viungo...
3.We acha tu
 
Aisee michepuko ya kilokole huwa ina vituko balaa. Mi niliwahi kumuingiza line mmoja kwa tabu sana maana alikua full time anashinda kanisani, kutwa yuko ktk maombi, mahubiri nk. Kila nikimchombeza ananihubiria na mavifungu kibao ananisomea.

Cha kustaajabisha siku niliyoenda nae loji kwa nia ya kumgegeda nikashangaa mhudumu alipokuja kuuliza tutakula/kunywa nini, demu akaagiza msosi na chupa ya Konyagi ndogo!! Aisee nilishangaa na kuogopa sana ukizingatia sikutegemea kabisa awe anatumia hayo makitu. Yaani kile kikonyagi alikifuta kama maji akatupa chupa kule sikilizia hiyo shoo iliyofuata....!
 
hiyo inaitwa funika kombe mwanaharam apite.
 
haha
 
Mkuu unazingua boss... Eti kichupa Cha konyagi ndogo
 
Kwaio show ikawaje kiongoziiiii
 
Mimi na ex wangu wote tuko kwny ndoa, siku moja alikuja Dar kwny issue zake akamdanganya mme wake anafikia kwa cousin wake then mida ya saa 2 akampigia jamaa simu kuwa anataka kulala amechoka tukachomoka zetu kwenda quest, tulipata mlo then tukaoga ilipofika mida ya kulala nashangaa naambiwa kaa tusali, nikakaa akapiga ombi baadae tukazini tukalala. Kimoyo moyo nikajisemea ilitakiwa afanye sala baada ya kutenda dhambi na sio kabla, lkn pia kwny kuomba hakutaja kabisa alichokua anakaribia kufanya
 
Back
Top Bottom