Huna mamlaka ya kumuombea laana mtu , Nyie walokole akili zenu ni za hovyo.Hawajui mkanganyiko walioutengeneza kiroho happy,
Ukisikia laana....
Ndo iyo na wataipata.
Siwana kulitafuta
Hawa wanawake Hawa..Ndoa ilishapangwa..ilibidi ndoa iendelee walivyotoka hapo wakaenda kuzika..na ndiyo maana wakaamua misa yao ya ndoa iwe sambamba na misa ya mama yao..sijaona uzungu wowote hapo.
Ngumu kidogo...kujikaza inaruhusiwaHawa wanawake Hawa..
Wewe unaweza hivo, mama yako akiwa ndani ya jeneza?
Damn right.Unafunga ndoa, mwili wa mama yako uko nyuma ya jeneza, unasema dedication?
Siyo movie ni kweli.Du labda muvi
Hiyo ndoa haiwezi dumu kwa sababu Mungu alitaka waahirishe kwanza ili wamzike mama yao lakini wao wakaona kwamba hata kama mtu mzito sana kama mama akifa bado ratiba yao haiwezi kuahirishwa sijajua kama bi harusi angekufa bwana harusi angeendelea kufunga ndoa na nani? Ndoa ni jambo la kupanga kifo hakipangiwi tarehe sioni kwa namna yeyote kupeleka ndoa na msiba kwa pamoja haviendi labda kama walipanga mama mkwe afe ahapo watakuwa na ujasiri wa kuendelea na shughuli ya ndoa.Damn right.
Kama mama alifariki kwenye sendoff. Wana haki ya kuomboleza. Kwao ni harusi ni more than wao..?
It more about mama alielala ndani ya jeneza.
Maybe hiyo ndio sherehe ya mwisho na hawataonana tena.
Kila mtu ana attachment tofauti
Kwa bahati mbaya sana vijana wa leo kila kitu mnarahisisha tu hivi toka lini msiba na ndoa vikawa pamoja? Huwezi jiuliza kwa nini mama afe siku ya ndoa? Maana yake Mungu alitaka uahirishe hiyo ndoa umzike mama yako lakini kwa ulimbukeni mtu anapeleka yote pamoja na hata aliywangisha ndoa naye ni taahira kwani kuna ulazima gani wa kufunga ndoa ilhali mama yako yuko kwenye box? Ndoa inaweza kuahirishwa kwakuwa ni ya kupanga lakini kifo hakipangiwi tarehe jiulize pia kama bi harusi angekufa bwana harusi angefunga ndoa na nani kama ilikuwa lazima siku hiyo ndoa ifungwe ?Ndoa ilishapangwa..ilibidi ndoa iendelee walivyotoka hapo wakaenda kuzika..na ndiyo maana wakaamua misa yao ya ndoa iwe sambamba na misa ya mama yao..sijaona uzungu wowote hapo.
Ngoja waje kukujibu.Kwa bahati mbaya sana vijana wa leo kila kitu mnarahisisha tu hivi toka lini msiba na ndoa vikawa pamoja? Huwezi jiuliza kwa nini mama afe siku ya ndoa? Maana yake Mungu alitaka uahirishe hiyo ndoa umzike mama yako lakini kwa ulimbukeni mtu anapeleka yote pamoja na hata aliywangisha ndoa naye ni taahira kwani kuna ulazima gani wa kufunga ndoa ilhali mama yako yuko kwenye box? Ndoa inaweza kuahirishwa kwakuwa ni ya kupanga lakini kifo hakipangiwi tarehe jiulize pia kama bi harusi angekufa bwana harusi angefunga ndoa na nani kama ilikuwa lazima siku hiyo ndoa ifungwe ?