Kuwa na mke/mume au mpenzi ambaye ni rafiki ndo mahusiano bora zaidi

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na uhusiano na mwanamke au mwanaume ambaye ni rafiki

Huwa inatokea mwanaume na mwanamke wanakua marafiki wa ukweli na kujuana ndani na nje na uswahiba ulioshiba sasa wakiingia kwenye mahusiano asikwambie mtu hao watu wanakua wanaendana sana

Mahusiano yanayotokana na urafiki wa kushibana kati ya mwanaume na mwanamke ni mahusiano mazuri na marahisi ya kuyamudu maana mnakua mmeshibana na kujuana sana
 
Jidanganye! Urafiki na Mapenzi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mkiwa marafiki hakuna atakayemfuatilia mwenzie ila mkiwa wapenzi ndo mambo yanaanzia hapo.Wengine wanaachana wanarudi kwenye urafiki.
 
...yaah,kuna ukweli asilimia 90

Napenda ningepata mke ambae tumepitia hii stage ya urafiki kuna kuwa na mambo mengi mnajuana hasa utani.

Ila pia kuna mabaya yake,Mana kuna stage mkifka hutoweza kumuacha ata Kama anakasoro ambazo unaona kabsa hzo kasoro ztakucost tu.

Yaani mkikumbua mambo mengi mliokuwa mnafanyiana mnasahau kasoro zenu,ktu ambacho ukiwa peke ako kinakuumiza Sana kchwa.
 
Ukishaingia tu kwenye ndoa status change! Asikudanganye mtu maisha ya kuwajibika ya ndoa huibua tabia nyingi zinazojificha!
 
Mapenzi Ni urafiki wa ndani zaidi na huibua vitu vingi zaidi hata Siri binafi zinaibuka happy ndo unasikia Niko na wrong person, ningeyajua haya mapema nisinge kubari kuwa nae
 
Mimi na
Jidanganye! Urafiki na Mapenzi ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mkiwa marafiki hakuna atakayemfuatilia mwenzie ila mkiwa wapenzi ndo mambo yanaanzia hapo.Wengine wanaachana wanarudi kwenye urafiki.
Upate mpenzi rafiki utaenjoy mkuu amini nakwambia
 
Kweli kabisa
...yaah,kuna ukweli asilimia 90

Napenda ningepata mke ambae tumepitia hii stage ya urafiki kuna kuwa na mambo mengi mnajuana hasa utani.

Ila pia kuna mabaya yake,Mana kuna stage mkifka hutoweza kumuacha ata Kama anakasoro ambazo unaona kabsa hzo kasoro ztakucost tu.

Yaani mkikumbua mambo mengi mliokuwa mnafanyiana mnasahau kasoro zenu,ktu ambacho ukiwa peke ako kinakuumiza Sana kchwa.
 
Katika hali ya kawaida, mme au mke inabidi awe ni mtu ambaye tabia zake zinamfanya awe rafiki yako wa karibu sana, kama mngetokea kuwa watu wa jinsia moja. Asipokuwa na tabia za aina hiyo, you will never cope!
 
Hiyo ndio formula katika mapenzi au mahusiano yoyote,ni lazima mjuane kwanza vizuri then mnaanza mahusiano,sasa siku hizi wengi hiyo stage wanairuka na kukimbilia kuanza mahusiano.
 
Fact

Naam,
Hiyo ndio formula katika mapenzi au mahusiano yoyote,ni lazima mjuane kwanza vizuri then mnaanza mahusiano,sasa siku hizi wengi hiyo stage wanairuka na kukimbilia kuanza mahusiano.
 
Haya mambo ya mahusiano mtamaliza maneno, lakini ni somo ambalo hakuna mwalimu atakayewea kulimudu kwa asilimia mia.
 
Anakuwa tayari rafiki,kubadili akili ya urafiki kwenda upenzini kwangu mie haipo
...mi nahisi,

Mpenzi kuwa rafiki ni ngumu Ila rafiki kuwa mpenzi ni rahisi Sana na situation kila mtu hupitia hii kupata mpenzi...

Sema urafiki nao unalevel zake...kuna level mkifikia mnahisi Kama mna undugu hv ata kutongozana mnaona dhambi au aibu...

Ila kwangu huu urafiki sitohuruhusu utokee ktk maisha yangu...
 
Back
Top Bottom