four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,406
Suala LA kuchepuka ni moja Kati ya mambo mabaya Sana ktk ndoa au mapenzi yoyote Yale,lakini wakat mwingine limekuwa ni suala gumu kuepukika kutokana na sababu mbalimbali zinazotofautiana Kwa kila mmoja.
Kuna wale wanaochepuka sababu ya kuwa mbali na wake au waume zao,Kuna wasiolidhishwa kingono,Kuna wanaotafuta faraja wasizozipata ndani ya ndoa,Kuna waliozama ktk penz LA wengine nje ya ndoa na sababu nyingine lukuki
Pamoja na kuamua kuchepuka wengi wetu bado tunazipenda ndoa zetu na wenzi wetu ktk ndoa hvyo kupelekea kutafuta namna salama ya kuchepuka Bila kustukiwa.
Hapo ndipo lilipojikita swali langu je Kati ya kuwa na mahusiano ya kimapenz ya kimchepuko na kuamua tu kuchukua Dada poa ukapiga ukamlipa ukamalizana nae ipi ni salama?
Tatizo LA kuanzisha mahusiano ya nje ni kujiweka ktk hatar ya kubambwa na mkeo maana michepuko mingine Mara ipige simu au itume msg wakat upo na mkeo,wakat mwingine Kuna bahat mbaya za mimba lakini pia gharama za kutunza Familia mbili,siku hz Kuna kurogwa pia na michepuko ili umsahau mkeo na Familia kabisa,lakini Kuna suala LA magonjwa Kwan ni vigumu kutumia kondomu na mchepuko WA Muda mrefu
Kwa upande WA uchepukaji WA madada poa uzuri wake kwanza ni salama Kwa sababu kondomu zitatumika kwani wao pia Wana muamko mkubwa WA matumizi ya kondomu,pili hamna gharama za matunzo unampa chake unasepa,Tatu hakuna biashara za mawasiliano Mara simu au msg mbele ya mkeo,nne unapata fursa ya kuchagua totoz kali tofautitofauti kila unapoenda kupata huduma,tano hurogwi na changu hata siku moja hvyo Familia utaendelea kuijali na kumpenda mkeo,
Wadau karibun tushee ideas kuhusu hili suala.