Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao...
Ewaa!
Nipo na kibinti kimoja kwa sasa kinasoma mwaka wa kwanza Muhimbili. Ni kibinti kizuri chenye akili sana. Tokea nianze nako mahusiano huu ni mwaka wa pili kwani nilikipata tokea kilivyokuwa...
Habari wapendwa MMU
Kuna tabia ambazo mtoto wa kiume akiwa akiwa nazo zinatia mashaka kama ni mwanaume anaejielewa
1.Kuvaa suruali chini ya makalio wanaume wanaovaa suruali mtindo wanakera mno...
Baada ya kumvumilia sana mpenzi wangu imefika hatua yamenishinda hivyo natafuta sababu ya mimi na yeye kuachana ambayo nikimuelezea mtu wa karibu atanielewaa
Maana visa na vituko anavyonifanyia...
Mabinti wanaotikisa viuno au mkia huku wakitembea huwa ni watamu sana, ukiringanishana na wale ambao hawatikisi (static). Na baharia akikutana na wanamna hii lazima atangaze ndoa siku hiyo hiyo...
Si mpenzi wa wanawake waliojazia lakini kwa huyu nilikwama ana kila kitu yani anavutia kiukweli tulizoeana kiasi, nilimtongoza akanambia hawezi kabisa kuwa na mimi lakini hakunipa sababu...
Habari wana JF.. Natumaini wote wazima wa afya,
Tangu nijiunge na JF sijawahi kuja kwa heshima namna hii kama nilivo anza na utangulizi apo juu, nipeni kwanza point tatu zangu tafadhali
Ishu ni...
Ninakumbuka miaka ya 1980 enzi zile Afrika ya Kusini siasa za ubaguzi wa rangi zimetamalaki. Nchi nyingi zilijitenga na Afrika ya Kusini, passport ya Tanzania iliandikwa kabisa hairuhusu mmiliki...
Kuna msemo ulioko kwenye redpill & pua society unasema, "women make rules for beta males, but break rules for alpha males" kwa wasiojua ngeli hapa mtajiju, ila zifuatazo hizi ndo sheria ambazo...
Nimekumbuka ilikuwa mwaka 2002 au 2003 nilipoitiwa mtoto (demu) aliyetoka Dar. Uncle wake ndiye aliyeniunganishia. Aise! Niliishia kutetemeka kama nimeshikwa na ngiri. Wakati huo nilikuwa Primary...
Kuna demu wa jamaa yangu alikuwa ananiletea letea mazoea nikawa najitahidi kumkwepa ila ikafikia mahali uzalendo ukanishinda.
Siku iyo demu alisema anakuja gheto akafika pale tukawa tuna cheki...
Chukulia umempenda au umependwa na mwenzako kimapenzi, itakulazimu uachane na wale mambulula wote uliokuwa nao mwanzoni uongozane na huyo uliyekutana naye; ikiwa na maana ufuate kile anachopenda...
Purity Wanjiru alitoroka kwao na kuanza kuishi maisha ya utotoni akiwa na umri wa miaka 13
Kila anapokumbuka alikotoka maishani, Purity Wanjiru hudondokwa na machozi asijue la kufanya.
Purity...
"Nakupenda sana mpenzi wangu" Kauli hii unaichukuliaje?
Acha leo nikuibie siri wakati unapomwambia mpenzi wako kuwa unampenda sana mpenzi wako huwa anafarijika sana hata kama anamaumivu moyoni...
Good day pals.
Some of us will be questioning our lives as to the resolutions we took in January, if we've been able to keep to it. We all know that their are so many things we wish to stop...
Kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, ups and downs.
Nimeona mengi ya kuvutia kama upendo wa dhati kwa wapendanao kabla ya ndoa au kabla mwanamke hawa proposed for engagement.
Kuna wanaume huwa...
Nina mwezi mmoja sasa tangu nimtolee huyu binti ambaye soon atakuwa mke wangu halali wa ndoa.
Kama unavyojua mila zetu Africa ukishatoa kishika uchumba + mahali binti anakuwa huru kuja kwako...
Wapo watu wanaoamini vitambi ni ishara ya kuonyesha mafanikio, na kupelekea kuviendekeza na kuleta athari kwenye mahusiano. Hii imekuwa kwa pande zote, iwe kwa wanaume au wanawake. Vitambi...
Je, ni sahihi kwa mwanaume kumpa jina mtoto aliyezaa na mchepuko?
Hii nimekutana nayo mahali; mchepuko kulazimisha mwanaume aliyezaa naye ampatie jina mtoto. Hofu yangu ni kuwa, kama mwanaume...