Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Assalam alykum warahmatullahi wabarakatuh. Mimi ni mwanaume Umri ni 29 Muislamu Nimesha ajiriwa Nahitaji mwanamke ambae awe mke wangu wa ndoa akiwa Muislamu itapendeza zaidi. Awe na umri usiozid...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wakuu, Leo nitazungumzia kuhusu ndoa ambayo ni sahihi mbele za Mungu tofauti na baadhi ya watu wanavyoungana kisha kuanza kumlaumu Mwenyezi Mungu pale wenza wao wanapowatendea...
13 Reactions
39 Replies
6K Views
Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale mke wako anapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Natumai mpo njema wakuu. Msamaha katika mapenzi ni ishara ya upendo wa kweli, ukiona mwenza wako anaomba msamaha after kukosea ujue anayajutia makosa yake hivo anaomba samahani kusawazisha...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Aliyefanya uhuni sana katika ujana wake halafu akaingia katika ndoa, na yule ambaye hakufanya uhuni katika ujana wake akaingia kwenye ndoa. Ni yupi akiingia katika ndoa hutulia? na ni kwanini hutulia?
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari zenu, Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri. Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa...
12 Reactions
220 Replies
18K Views
Ni kijana mwenye miaka 26.Elimu nilifika fika chuo lakini sikufanyikiwa kumaliza.Lakini haikunizuia kuweza kutimiza malengo yangu kwani nilipambana na kujiajiri mwenyewe. Sasa wazazi baada ya...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Ni bora kuwa pekeako kuliko kuwa na mtu anayekufanya ujihisi uko pekaako, msemo huu una maana gani? Iko hivi, kwa mfano uko katika mahusiano ya kimapenzi na mtu lakini mtu huyo muda mwingi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi huwa sitongozagi mwanamke, huwa natengneza mazingira tuu. Hata kama nikitongoza bas ni mara 1 tuu akiwa analegalega basi ndo imetoka hiyo na anakua amekosa bahati narudia tena anakua amekosa...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimeshtuka kidogo kwa hili nililoliona muda huu saa moja nikiwa narudi home. Huku nakoishi kiukweli kuna ukimya sana. Unaweza ukakaa huku week usijue nini kinaendelea ulimwengu mwingine Nikiwa...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
guest-1793747943
Hata siku moja ukiwa kama mwanaume usije kuthubutu ku open up kwa mwanamke na kuonesha your soft side your emotional side, sababu mwanamke akigundua your insecurity akigundua your soft side...
19 Reactions
73 Replies
7K Views
Habari wanajamvi. Nimekuwa najiuliza hili swali, Wanaume mnapenda Mwanamke yipi haswa? Nina marafiki wa kiume na hata kaka zangu ambao huwa naongea nao kuhusu mahusiano. Utakuta yupo na mwanamke...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mchepuko niliozaa nao umenichukiza sana; ikabidi ni m-block Nilimwambia bibie unajua umri unakimbia, nikiendelea kuwa napasha kiporo mara kwa mara nitawazuia wale wenye nia nzuri ya kutaka kuja...
2 Reactions
121 Replies
9K Views
Habarini wakubwa kwa wadogo. (maana salamu ya shikamoo tulifunzwa na wakoloni) Niko hapa mbele yenu kuleta mada tajwa hapo juu, inayotugusa sisi vijana wa 20s, hasa tulioko hapa Dar es salaam ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuishi pamoja, kupendana, kusikilizana, kusaidiana majukumu, kufarijiana, kukumbatiana, kubusiana, kupeana tendo la ndoa, kutokusalitiana, kumwamini mwenzako kuwa ni pacha wako, kushiriki ibada...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari JF. Mimi nilisoma shule ya kikatoliki, nilikuwa nasoma na washikaji zangu ambao na waamini kinoma. Ila kuna mmoja alikua anaonekana snich na alikuwa amefia dini kinoma kila siku anatumikia...
1 Reactions
38 Replies
45K Views
Prior to the murder of a black American know as George Floyd, which led to an outrageous protest by other Americans, there has been a great percentage increase of racism in the world, due to this...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
Habari, Hivi wale Mliooa au kuolewa na mapacha au mlio na wapenzi ambao ni mapacha,hasa wale mapacha wanaofanana(identical twins) huwa mnawezaje kuwatofautisha?sababu hawa hupenda kufanana kila...
3 Reactions
93 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…