Naombeni ushauri wenu juu ya hili nahisi kuchanganyikiwa

mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
15,069
2,000
Unamatarajio ya kuishi nae maisha ya kindoa huyo au sio!

Kama jambo la kawaida sana kama hilo hamjaweza kuwekana wazi na umeshindwa kumeambia ukweli ni vipi siku akifanya kubwa zaidi?

Ndoa sio maigizo ,ni jambo la kiapo cha milele. Hilo neno milele hebu kaa tulia vizuri litafakari japo kwa dakika tatu au nne tu upate taswira nzima ya tafsiri yake

Mnapofake tangu mwanzo kwenye mahusiano yenu ndivyo hivyo hivyo myakavyoishi ndoani

Jifunzeni kuwekana wazi jambo ambalo litawasaidieni sana ktk kujenga mahusiano imara na yenye afya baina yenu
 
nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
5,006
2,000
so unachoona hapo ni kipato chake kidogo hakiwezi kukidhi mahitaji yako??......unaamini kwamba kutafuta ajira ndio ndoa itanawiri???...jiongeze wewe,,,,,ushajua alifeli....kaeni mtafakari matarajio yenu baada kuwa wanandoa.......ukimchunguza sana bata hutomla......siku si nyingi utakuja hapa nilichokikuta kwa simu ya basha wangu siamini..... uza nguo,,,dunduliza....weka wigo mpana wa biashara yako.....msisitize anunue bdbd ingine.....muongeze kipato.....hayo ya kuchunguza chunguza yatakuponza........komaa dada.....
 
tembocard

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
247
250
Cheti sichake kwanini wewe unatumia nguvu kubwa kukihitaji?
Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
 
Davet

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
42,170
2,000
Hataki bwanaake aendelee kuwa dereva wa boda boda, anataka aajiriwe.

Ana harakia maisha inavoonekana. Kasahau kama maisha ni process sio kama mbio za sprint

Japokuwa huyo mwanaume wake nae sio mkweli. Kwanini asiseme tu ukweli kuwa alidisco chuo? Maisha yanaendelea
Sasa yeye sianacho chake mana kasema wamemaliza chuo kwanini asikitumie apate ajira yake mwenyewe?...

Pia tatizo la huyo dada nae anaanini sana katika kuajiriwa yani bila hivyo anaona bado hajayaanza maisha...

Mwana kuficha kuhusu disco aliloingia kweli ni mistake lakini atakua na sababu zake za msingi yeye kufanya hivyo na huo ndio uanaume....
 
Davet

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
42,170
2,000
Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
Aaah! Jamani kumbe unapenda jamaa awe anaenda ofisini?
 
flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,470
2,000
Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
Sasa hizo ajira siuapply nawewe maana umeshasema kuwa wote mmemaliza chuo au wewe ndio unaona Biashara yako nzuri nabiashara yamwenzako yabodaboda waiona mbaya so wamuonea huruma
 
mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
15,069
2,000
Sasa yeye sianacho chake mana kasema wamemaliza chuo kwanini asikitumie apate ajira yake mwenyewe?...

Pia tatizo la huyo dada nae anaanini sana katika kuajiriwa yani bila hivyo anaona bado hajayaanza maisha...

Mwana kuficha kuhusu disco aliloingia kweli ni mistake lakini atakua na sababu zake za msingi yeye kufanya hivyo na huo ndio uanaume....
Utoto tu wala hakuna jingine.

Unajua kuna umri fulani unadream mambo makuuuuuubwa hlf kadiri umri unavyoenda unang'amua kuumbe sio rahisi kiasi hicho

Tunatakiwa kudeal na foundation sio kukimbilia mambo makubwa matokeo yake tunakuwa na mwisho mbayaaaaa
 
smigo4u

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,256
2,000
Hapo juu nimesema kuwa ni mpenz Wang naishi naye na wazazi wake wananiomba kila siku nimsisitize apply hizi ajira zinazotoka ili amsaidie mdogo wake na kama mpenz wake pia natamani apate kazi achane na kazi ngumu ya bodaboda maana amemaliza toka 2016 ajira zinatoka tu haombi siku zinaenda kuna baadhi ya malengo tunasindwa kuyafikia kutokana na kutokuwa na kazi
Kutokuwa na kazi au kipato hakikidhi mahitaji? Kama kuwa na kazi ndiyo kukidhi mahitaji basi bado haujakomaa kifikra mkuu ila cha kukushauri kaeni chini mpange namna ya kuongeza kipato chenu na mbuni biashara mbali mbali huku ww ukiendelea kutafuta hiyo ajira serikalini.
Hakuna kitu wanaume tunachukia kama dharau kama unajua kuwa alidisco ni bora ukajifanya haujui huku ukiendelea kumtia moyo wa kujiongeza kibiashara (bali amezingua sana kukuficha kitu kama hicho kwa kuwa ni maisha yenu ) zaidi Maamuzi yako ya sasa ndiyo yatakayo determine future yenu ,mungu awatamgulie .
 
Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,812
2,000
Nimependa hilo jina lako tembocard nikisoma nasmile,hebu njoo pm nikupe zawad yako mtoto mzuri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom