See beautiful pictures of Black and White Couples (Racism is bad)

Mr What

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
1,177
2,086
Prior to the murder of a black American know as George Floyd, which led to an outrageous protest by other Americans, there has been a great percentage increase of racism in the world, due to this particular event, but don't get me wrong because I'm not trying to resurrect the cold news but to bring awareness to all about the bond between every human which is love.
I just want to remind everyone that there was once a strong bond between everyone, no matter the race they originate from and the pictures of these couples will prove it.

20.
bc0ddff7f1abac7632840c5815eba194

19.
340b9054855fe24d4f8c9af34927696c

18.
bc87893e42bffa6b251cb8c70c6df109

17.
b6596a4af5070038cbb66546b91122e0

16.
44062fcd42856c5335dfe0127f038a73

15.
2273f7a84d2f0fddd000cb1c498335bd

14.
2c0315091d641fa1b0a4c5bf6382875e

13.
b4199f3bfa119265dca5eee1eef2d5b9

12.
56f874f729216c98219ec0f079b76879

11.
5b0fac0fe4ca71bc288b4a6d234353ba

10.
e38a0f27291f2e253e14aad8b7895592

9.
1fe943ce1c739c9823bbec987bc14e23

8.
ec2db0413abf9c22679c1d79310f42d4

7.
8df826ad9f2fc487620d38533cd08a89

6.
3d9452115a95f70c8ed5e1f5f611fde4

5.
be4e5420f28709d4a269eaeaf6c73179

4.
3afc5d51695f474e28c173063affd1b6

3.
db5839b1dd398b82390438ae24fea35f

2.
56f20c761134fb6f56fe877883a94ab6

1.
67d960ba379c345962668e4853e75f52

Don't let anyone deceive you into hating another race because of some incident just remember we are all human. Don't judge a book by its cover but by its content, I hope that after seeing these pictures your perception about the opposite race would adjust. Follow me @stankelly on opera news .com for more uploads.

Do you agree with me on this opinion? Are you ready to make the world better? Let's see your own point of view on the comments section. Thanks!.
 
Mwanaume yoyote mweupe hata choka mbaya crackhead anaoa mdada mrembo mweusi. Ila mwanaume mweusi ni mwenye hela tu anaoa mzungu, bado picha zako zinaonyesha ubaguzi
Tunazungumzia "Ubaguzi wa rangi" sio pesa,... Umeshawahi kuishi nchi gani ya watu Weupe halafu ukaona kama wanajali utajiri wako??? Usi Generalise issue zetu za kupenda hela ukaona na Dunia nzima iko hivyo....
 
Hakuna wanawake wanapenda pesa kama wanawake weupe, na yeyote unaemuona ameoa ngozi nyeupe na hana hela ujue ameoa reject. Kama ni mzungu ni mnene hana soko mgonjwa, kama mchina mfupi sana na kibonge, kama mwarabu taahira wanakupa na kama Muhindi basi ukoo wa ovyo
 
Utajibiwa tu.. Time will tell..
 
Hakuna wanawake wanapenda pesa kama wanawake weupe, na yeyote unaemuona ameoa ngozi nyeupe na hana hela ujue ameoa reject. Kama ni mzungu ni mnene hana soko mgonjwa, kama mchina mfupi sana na kibonge, kama mwarabu taahira wanakupa na kama Muhindi basi ukoo wa ovyo
Duuh
 
Mwanaume yoyote mweupe hata choka mbaya crackhead anaoa mdada mrembo mweusi. Ila mwanaume mweusi ni mwenye hela tu anaoa mzungu, bado picha zako zinaonyesha ubaguzi
Sidhani kama unachoongea kina ukweli,ukikaa ulaya ndio utagundua kuwa wazungu wanachukulika kirahisi kuliko unavyodhania,sema ni ngumu kwa black kuoa mwanamke wa kizungu kutoka familia yenye uwezo wa kifedha...
 
Sidhani kama unachoongea kina ukweli,ukikaa ulaya ndio utagundua kuwa wazungu wanachukulika kirahisi kuliko unavyodhania,sema ni ngumu kwa black kuoa mwanamke wa kizungu kutoka familia yenye uwezo wa kifedah...
Ndio tunalosema wao kuoa haijalishi katoka wapi, ila sisi kama huna hela utaoa reject. Kuchukua kula unakula tu ila ndoa kuzaa
 
Hiyo namba 2 ni wakwetu kabisa jamaa,harembi akiwa uwanjani bandika bandua anaijaza dunia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom