Hii kitu inakuaje hii?

AkiliMingi AM

Member
Jul 5, 2020
88
58
Habari JF.

Mimi nilisoma shule ya kikatoliki, nilikuwa nasoma na washikaji zangu ambao na waamini kinoma. Ila kuna mmoja alikua anaonekana snich na alikuwa amefia dini kinoma kila siku anatumikia altareni.

Nilipo maliza shule nikiwa mtaani nilipata kusikia skendo kuhusu huyo jamaa yangu mfia dini, kwamba wana muhusisha na masuala ya kishoga kwamba jamaa anabanduliwa jicho.

Siku nilikuja kuamini nilimkuta gheto kwa mshikaji wangu mwingine lkn kulikua na harufu fln ivi mbovu alafu kwa chini ya kitanda kuna used condom. basi nikahisi tayari kasha guswa. baada ya Dkt. 10 wakasindikizana aliporudi jamaa yangu akanichana ukweli kua amembandua mfia dini.

Katika kumuhoji hoji aliniambia wana miezi miwili wakibanduana , nikamuuliza mshikaji "kama unaweza gusa jicho la mwanaume mwenzio je la kike si unaweza pia " ajabu ni kuwa jama alisema "kiukweli kwa wanawake anapenda k tuu ila kwa wanaume anapenda jicho hivyo akiwa na dem haezi kula jicho"

Kiukweli nilikata mazoea ya kulala kwa mshikaji asije niekea jongoo kwenye mpalange wangu (yaani jicho langu)

Sasa inawezekanaje mtu kuwa anakuala jicho la mwanaume ashindwe la mwanamke?
 
Mungu niepushe nisi comment chchte zaid hii na nisifungue tena huu uzii
 
Back
Top Bottom