Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,513
Habari,
Hivi wale Mliooa au kuolewa na mapacha au mlio na wapenzi ambao ni mapacha,hasa wale mapacha wanaofanana(identical twins) huwa mnawezaje kuwatofautisha?sababu hawa hupenda kufanana kila kitu hasa mavazi,Vito nakadhalika.
Wakati nasoma A level kuna jamaa yangu alikuwa ana mpenzi ambaye alikuwa na pacha wake anayesoma hapohapo Shuleni,
kipindi cha mwanzoni alikuwa anapata shida sana kuwatofautisha hasa kutokana na kuvaa uniform na kuna mda alikuwa anaweza kumwambia kitu pacha mwenzake ambaye hakuwa mpenzi wake akidhani ni yeye,ilichukua mda kuwatofautisha.
Unawezaje kuwatofautisha kama hao pichani?