Eti "Kwahiyo wewe ukitongoza mara moja tu basi?"

Eti "Kwahiyo wewe ukitongoza mara moja tu basi?"

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Mimi huwa sitongozagi mwanamke, huwa natengneza mazingira tuu. Hata kama nikitongoza bas ni mara 1 tuu akiwa analegalega basi ndo imetoka hiyo na anakua amekosa bahati narudia tena anakua amekosa bahati

Sasa huyu binti wa hapa kwenye mini supermarket njia yetu hii ya eti analaumu kwamba mimi sijui nikoje baada ya kufahamiana nae na kua nachkua bidhaa hapo hata kama sihitaj ilimrad nipite tuu sku1 ikabid nichkue namba chating zkaendelea.

Namwambia basi afanye namna aje tuonane au aje kwangu kabisa, ooh eti ofisi imembana kila siku. Wiki ya pili hii tangu nimemwambia aje nikasema basi sawa.

Sasa sjui hiyo ofisi kawekwa na njemba hiyo mim sitaki kujua excuse nyiingi nika mpotezea analaumu et mbona sio kinganganizi nikasema huyu hanijui vizuri

Actualy leo anatoka mapema anakuja kwangu bila hata kumkumbusha actualy nahisi naweza kula leo leo

NB: Zingatia nimeacha sana elfu kum kum pale za chenji, dahh. Enewei, watoto wakali lazma uingie gharama

Uzi tayar

(Zingatia...sio mwanafunz.usiseme mambo ya shule kufunguliwa..mim ni mtu mzima mwenye kende zangu)
 
Ivoivo unamchukua kumgonga, ndivo walivyomchukua wenzako miaka nenda miaka rudi.

Swali ni kua Kagongwa na wangapi???


Kanunue Ndomu chapu ... usije kuanza kulia lia kama Boya kisa umekula kimasihara
Mkuu hua naziinjoi sn comments zko, zko straight forward [emoji23][emoji23] Haina kufunikafunika kitu
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
255767078559_status_c70dde2648764f61ae17f682c232f1cd.jpg
 
Elf 10 ndo noti kubwa kuliko zote Tz sasa unaposema umeacha chenchi za ten ten mara kibao huoni unatudanganya! Ni hela gani ukilipa unapewa chenchi ya 10?
 
Back
Top Bottom