Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hali ya vijana walio wengi saivi ni taabani. Tafsiri ya maisha ya kijana wa kisasa ni "kula bata". Humo kumejaa ulevi, uzinzi na ishu zingine nyingi zisizo na tija kwa fyucha (umbea, usengenyaji...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello JF. Wakuu, mimi sijui ni mvivu wa mawasliano au labda ni mapungufu yangu haya. Nimekuwa kwenye mahusiano na mabinti kadhaa but chanzo kikubwa cha kuachana kwetu huwa ni mawasliano. Iko...
29 Reactions
135 Replies
13K Views
Habari wakuu? Katika harakati zangu zakutafuta maisha bora nikatua zangu mjini Zanzibar nikitokea mkoani Tanga, wilaya ya Pangani Magharibi, Mtaa wa Kongowea. Kyle Zanzibar makazi yangu yakawa...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Tatizo mwanaume akija na ombi la uchumba akiomba kukuvisha pete ilhali hauko tayari kwa ndoa, utamwambiaje hapana ili bado akuone malaika?
6 Reactions
130 Replies
9K Views
Ripoti ya idadi ya watu ya mwaka 2000 huko nchini Brazil ilionyesha kwamba familia milioni 11.2 kati ya familia milioni 44.7 zinaongozwa na wanawake. Nchini Nikaragua 25% ya watoto huishi na mama...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna thread moja nimeiona, mdada anaomba ushauri jinsi ya kuishi na mume anaye-cheat. Sasa katika michango ya wadau nimeona wengi wanamshauri mwanamke amsamehe mumewe eti kwa kuwa ameomba msamaha...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Hivi ni kwanini mwanamke anakuwa na wivu na mume wake mpaka anamchukia, na dawa yake ni nini?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Unakuta mtu mpenzi wake anamuoneshea dalili zote hamtaki lakini mtu anaendelea kung'ang'ania Tatizo linakuwa ni nini mtu kutokubali matokeo kama kaachwa maana dah kuna rafiki yangu bado anakomaa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
AWALI ya yote naomba niseme kwamba, raha ya ndoa ni kumpata mtu ambaye anajua maisha na anajua mapenzi pia. Ukipata mwanamke ambaye anajua kutafuta pesa tu lakini kwenye ulimwengu wa mapenzi ni...
4 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa, Naomba nilete kwenu thread hii kila mwenye jina la kipekee au zuri anaweza akachangia ili uwe msaada kwa wale wanaotafuta majina mazuri na ya kuvutia ya kumwita mpenzi wake(...
0 Reactions
216 Replies
160K Views
Natumai hamjambo wanabodi. Wakuu miaka ya sasa kumekithiri wimbi la watoto viburi na waloshindikana majumbani, sababu kubwa ya jambo hili nivile wanawake wanawapanga wanaume bt wakipata ujauzito...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu katika pitapita mkoani mbeya nimegundua yafuatayo: 1-Wamama wengi wanapenda kujishughulisha na biashara mbalimbali kubwa na ndogo wengi ni wataftaji.... 2- wanawake wengi...
7 Reactions
60 Replies
24K Views
Naam wanazengo wacha nishushe thread ya motoo [emoji91] kabla hamjalala. Aise! Nimefanya research yangu nikabaini mwanamke yeyote mwenye TABIA hapa namaanisha TAKO BIDHAA ADIMU[emoji2] ( TABIA)...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna wakati unaweza kufanyiwa vituko na mwanamke wako ndani ya nyumba ikafika hatua nyumba ukaiona chungu kuna wakati hata katika mahusiano unaweza pia fanyiwa visa ukaiona dunia chungu Na kama...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Katika pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jamani. Ikipita cku sijaongea...
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Nimefanya kauchunguzi katika nchi yetu Tanzania, ni jambo la kawaida kuona mzazi wa kike (mama) pale umri unapoenda hupendelea kuishi nyumbani kwa watoto wake. Ila hali ni tofauti kwa wazazi wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
- Mwanamke ameunda kizuizi ndani ya nyumba yake kumzuia mume wake kwenda kunywa vinywaji nje ya nyumba yao - Jayne Tapper ambaye ameolewa na Paul alifikiria suluhisho la mapenzi ya mumewe kwa...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwaka jana tulipata mualiko wa Naibu Spika kuhudhuria mkatano wa bunge.Tuliondoka na gari maalumu toka Dar hadi Dom kama watu 30 hivi.Gari moja kwa moja mpaka UDOM ila mimi sikupenda kufikia pale...
5 Reactions
67 Replies
9K Views
🥒🍑GOLI LA ASUBUI LAZIMA LIPATE MPIGAJI MAHIRI WA MASHUTI. 🍑🥒 ✍Sio unaianza siku kwa goli la kisigino , goli la asubuhi ni la kuanzia siku, hivyo lazima liwe la uhakika. Goli la asubuhi Lina...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Siku moja wikiendi nilitembelewa na rafiki yangu hapa mjini Mbeya akitokea wilaya ya Mwakyembe huko tukakubaliana tukutane Kiwanja kimoja hapa mjini kinaitwa Mwailubi. Lakini huyu rafiki alikuja...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…