Ni kwanini inakuwa vigumu watu kukubali matokeo kama wameachwa?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Unakuta mtu mpenzi wake anamuoneshea dalili zote hamtaki lakini mtu anaendelea kung'ang'ania

Tatizo linakuwa ni nini mtu kutokubali matokeo kama kaachwa maana dah kuna rafiki yangu bado anakomaa licha ya visa na vituko anavyofanyiwa lakini bado anakomaa
 
Si kama siasa mkuu, unagombea unakubalika baada ya miaka 5 unaliwa kichwa na wajumbe wa darasa la 7 lakini baada ya miaka 5 unarudi na unachukua jimbo. Nadhani nimeeleza ili unielewe
 
Sababu hua nataka nipate nyuzi za kuandika kwenye jukwaa la MMU hivyo hua nang'ang'ania nikisubiri kutendwa na nije kuwaonyesha watu wa humu ili nipate likes nyingi.
 
Unakuta mtu mpenzi wake anamuoneshea dalili zote hamtaki lakini mtu anaendelea kung'ang'ania

Tatizo linakuwa ni nini mtu kutokubali matokeo kama kaachwa maana dah kuna rafiki yangu bado anakomaa licha ya visa na vituko anavyofanyiwa lakini bado anakomaa
Pole Sana MSELA WA MANZESE, najua Hali unayoipitia, maana umekuwa na series of thread, Mungu ni mwema, atakuponya majeraha yako yote na atayafuta machozi yako yote
 
Unakuta mtu mpenzi wake anamuoneshea dalili zote hamtaki lakini mtu anaendelea kung'ang'ania

Tatizo linakuwa ni nini mtu kutokubali matokeo kama kaachwa maana dah kuna rafiki yangu bado anakomaa licha ya visa na vituko anavyofanyiwa lakini bado anakomaa
Mapenzi ni ulaghibu ukikuzoea huwezi kuacha kirahisi tu.......yani ni sawa na mvuta sigara au mnywa pombe mpaka apate tatizo litakalo tishia maisha yake ndio anaweza kuacha vinginevyo itakuwa swala la muda tu ............lakini sio kirahisi hivyo,,,huwaoni wala unga mpaka wanabakia kama misukule lakini bado wamo tu kuacha hawaachi.........
 
Buda kitu mapenzi kisikie tu. Unaweza ukawa na kila kitu duniani ila still mapenzi yakakutingisha.

So far sidhani kama kuna uraibu mbaya kama wa mapenzi. Ukifall deep ujue kabisa you will hurt deep! Curiosity hainaga nafasi kwenye mapenzi unaweza jua kabisa sipendwi ila kuikubalia akili nafsi haitaki 😂😂😂
 
Buda kitu mapenzi kisikie tu. Unaweza ukawa na kila kitu duniani ila still mapenzi yakakutingisha.

So far sidhani kama kuna uraibu mbaya kama wa mapenzi. Ukifall deep ujue kabisa you will hurt deep! Curiosity hainaga nafasi kwenye mapenzi unaweza jua kabisa sipendwi ila kuikubalia akili nafsi haitaki

Ni balaa mzee. Nakumbuka mara kwanza naumia ilikuwa 2010 nikiwa form four, Ni baada ya kumpenda demu mmoja Yeye alikuwa form 2 mie nikiwa mbele yake. Nilimpenda kiukweli kweli na yeye alinikubali kwa sababu nilikuwa mzuri darasani so shule nzima walinijua kama kichwa. Nikiwa nakaribia kufanya mtihani wa Mock form four hiyo demu akaanza mauza uza asee, mara sijui yupo busy na hawezi onana na mimi tena. Alikuwa anakujaga ghetto akaacha daah zengwe likaanza.
Daah mapenzi nyoko sana, yaani mtihani wa mock mkoa niliufanya nikiwa na stress za mapenzi basi tu ila Namshukuru Mungu nikapata div Two ya 19. Na nilikuwa na watu wakaweka Vijiti niliumia sana basi tu. Nilikuja kujua kumbe demu alikuwa ameshaanza kuliwa na Boda boda mmoja hivi daah sasa hela za chips na soda mie sikuwa nazo Ndio hivyo demu akawa ameenda
 
Mapito hayo mkuu, ila yalikuachia funzo
 
Back
Top Bottom