Wanawake ndo sababu ya watoto viburi na walioshindikana majumbani

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,131
2,000
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu miaka ya sasa kumekithiri wimbi la watoto viburi na waloshindikana majumbani, sababu kubwa ya jambo hili nivile wanawake wanawapanga wanaume bt wakipata ujauzito wanawapa waume zao/wanaowapenda japo si damu zao...

Ni ngum sana mtoto usie na vinasaba nae akawa msikivu na mwenye upendo kwa mzazi asie baba halisi kwake, ndo maana utashangaa mtoto anakua jeuri na kiburi licha yakumuadhibu daily.

Nimeshuhudia kesi nyingi za namna hii na matokeo yake iligundulika watoto si wababa walopewa hivo wanawake wenye tabia za namna hii muache maana mnawaharibu watoto wenu nyie wenyewe.
 
Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
17,072
2,000
Ni ngum sana mtoto usie na vinasaba nae akawa msikivu na mwenye upendo kwa mzazi asie baba halisi kwake, ndo maana utashangaa mtoto anakua jeuri na kiburi licha yakumuadhibu daily.

Kwa hiyo watoto wasikivu na wenye upendo huwa wanaonesha/wanatakiwa kuonesha kwa baba zao halisi tu?

Wewe kama ulitaka kuwafokea kina mama wanaobambikia waume zao watoto wasio wao ungetumia gia nyingine....hii sio
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,131
2,000
We jamaa bhana!

mkuu ungekua mwanaume usingebisha sema ni vile we ni ke lazima uwe na mtizamo huo
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,131
2,000
Huwa sicomment kuegemea jinsia fulani,nacomment nachoona sawa hata kama kitanikandamiza mimi kama wa kike

Comment yangu imeegemea jinsia yangu?
haijaegemea bt imekua kama inacrash point yangu ambayo ndo chanzo cha tatizo la watoto viburi na waloshindikana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom