Hivi unawezaje kukataa ombi la uchumba bila kumvunja moyo sana mwenzio?

Hapo ndipo mnapokosea wanawake hamjiamini. mnataka usiku na mchana hamtaki kusumbuka sababu ya udangaji wenu!! naapia kweli nimeishi sehemu nyingi lakini wanawake wa bongo nimewavulia chupi!! Hata awe amechumbiwa na Mo Dewji we ukija kumtaka utampata na pete utamvalisha
 
Kubali akuvishe then anza visa atajiongeza tu.. ila huko baadae narudia Tena huko baadae usije jutia kwa bahati uliyopoteza hutakiwi kujilaumu upambane kwani ulichagua ulichochagua.. usije kutulilia humu unatafuta mchumba..
Labda mchumba yani chumba kikubwaa na sio mchumba mtu..😅
 
hapo ndipo mnapokosea wanawake hamjiamini.mnataka usiku na mchana hamtaki kusumbuka sababu ya udangaji wenu!!naapia kweli nimeishi sehemu nyingi lakini wanawake wa bongo nimewavulia chupi!!hata awe amechumbiwa na mo dewji we ukija kumtaka utampata na pete utamvalisha
🤣🤣
Kumbe mkuu unavaaga chupi..!!!
Mbona wenzako tunavaa boxer..!

Sasa we wavulie waje wakubinye zile kengere mbili kesi utaamua kwa wajumbe..😂😜
 
Naona wengine hamuelewi.Sio kuwa Ni tabia ya udangaji,Kama bado nasoma na najitafutatia Maisha mazuri mbona nikimbilie utumwa wa ndoa...
Why don't you stay with him and talk clearly..?
Makubaliano ni msingi mzuri Sana,kushea maisha maana yake ni kuishi nusu maisha yako nusu maisha ya mwenza wako.. kaa mpange mkubaliane akikataa find your way..

Mbona tupo waelewa wengi tu ..😉😜😅
 
hapo ndipo mnapokosea wanawake hamjiamini.mnataka usiku na mchana hamtaki kusumbuka sababu ya udangaji wenu!!naapia kweli nimeishi sehemu nyingi lakini wanawake wa bongo nimewavulia chupi!!hata awe amechumbiwa na mo dewji we ukija kumtaka utampata na pete utamvalisha.mamaeee zenu mlaaniwe nyauuu nyiee

Pole sana.
 
Back
Top Bottom