Mwanamke unatakiwa kuwa wa kwanza kuamka ili uweze kumwamsha kichokozi mumeo

ujuguhapa

Member
Jul 28, 2020
30
36
🥒🍑GOLI LA ASUBUI LAZIMA LIPATE MPIGAJI MAHIRI WA MASHUTI. 🍑🥒

✍Sio unaianza siku kwa goli la kisigino , goli la asubuhi ni la kuanzia siku, hivyo lazima liwe la uhakika. Goli la asubuhi Lina mambo laweza kukufanya ufanye kazi Km punda au kulalala tu au hasira mwanzo mwisho. ukimpata mwanamke anayejua kujituma hasa na wewe mume ukawa fit basi siku hiyo mtu hung'ara kwa furaha.

✍ Pia huwa anacheka cheka kila Mara. Hii inatokana na kumbukumbu za mechi iliyochezwa asubuhi. goli likinoga humfanya mtu afanye kazi bila kuchoka kwani mwili huwa mwepessssiiii.

✍ Goli la asubuhi huzusha hasira pale ambapo mmoja hakuweza kufikishwa safari yake. Ha ha ha na ukishushwa njiani ndio unune tu itakuwaje umejipaka wanja waenda mjini halafu ushushwe njiani uwende kwa miguu. goli la asubuhi humfanya mtu kulalala tu pale anapofikishwa mjini zaidi ya Mara moja. unajisikia rahaaaaaa tu na mwili kuwa hauna nguvu. raha ya goli apatikane mpigaji na mdakaji ndio kandanda huzaa matunda.

✍Mwanamke unatakiwa kuwa wa kwanza kuamka, ili uwez kumwamsha kichokoz mumeo ili apata chai ya kitandan (bedroom tea) kabla ya kwenda kazn, hata Kama na ww mwanamke unaenda kazn, kutekeleza majukumu ya ndoa ni muhimu sana pia, kwa7bu Kuna faida nyini za goli la asubuhi.

Kama vile, Kukuweka sawa Kiakili na kimwili, kukutolea uchovu, mawazo na kuongeza umaridadi wa ubongo uwapo kazin, nisehemu ya mazoezi, lakin muhimu pia Huimarisha ndoa/mahusiano.

✍Mwanamke andaa muda special wa asubuhi wa kumwamsha mumeo kabla ya kwenda kuuza vitumbua vyako, kabla hujaanza usafi wa nyumba au kwenda kazini.

Kama humpagi mumeo cha asubuhi anza Sasa, ndan ya wiki hii utakuja kunipa matokea, sio kujifanya busy tu na kazi, mume anahitaji matunzo, tena matunzo yk special za Mtoto mdogo

✅Libmwata sio lazma kwenda kwa mganga, Ni ww unajua mapenzi kwa upana gani (mapenzi Ni uwanja mpana ) ko jua kucheza namba zote, sio uwe kiungo namba 6 kukatakata mauno utegemee kumtuliza mume 😅
 
Wewe DC Unakaa Wapi, Una Choo
Haya Wananchi Mtakuwa Mnakwenda Kujisaidia Kwa DC
Uwawekee Maji!!!!
Mpaka Mtakapojenga Choo
 
IMG_20200704_214403.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom