Kwanini wanawake wenye 'TABIA' wame-win maisha?

Kwanini wanawake wenye 'TABIA' wame-win maisha?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Naam wanazengo wacha nishushe thread ya motoo [emoji91] kabla hamjalala.

Aise! Nimefanya research yangu nikabaini mwanamke yeyote mwenye TABIA hapa namaanisha TAKO BIDHAA ADIMU[emoji2] ( TABIA) hio ni kauli tu ya kibaharia nimetumia hapa.

Jamani mwanamke yeyote mwenye Tako maisha yao ni safi sana ukikuta wa dizaini hiyo anahangaika na life basi nyota yake ya punda. Fanya research utaona dada wa dizaini hizi wanatumia simu kali, wanakula starehe sana maisha yao safi na watu wao ni ma-DON.

Kuna dada nilimaliza naye chuo ila baada ya miezi kadhaa nika-meet naye anadrive ndinga kali, kapangiwa nyumba Mbezi Beach na soon anaolewa. Kuna secretary hapa ofisini mshahara wake ni mdogo tu ila ana-drive ndinga kali mabossy wanamshobokea hatari kisa TAKO.

Honestly mwanamke mwenye tako ku-win maisha ni simple sana tofauti na hawa wengine akina Mwajuma tupambane na shule tu.

Dadad zetu maisha ya sasa ukiwa na TABIA tu, ndo habari ya MJINI.
 
Mtaani yapo kibao kama matatu ,ukiyataka unayapata hela yako ila uwe makini na HIV.

Moja limehama age 42 single mother alitaka kupindua ndoa ya mwenzio kisa jamaa yupo UN.Jamaa katia mimba alafu karudi kwa mkewe,watu wamejipigia sana.
 
Unazungumzia wese halafu huweki picha hata moja? Whai? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

20200615_142023.jpg
 
Mtaani yapo kibao kama matatu ,ukiyataka unayapata hela yako ila uwe makini na HIV.

Moja limehama age 42 single mother alitaka kupindua ndoa ya mwenzio kisa jamaa yupo UN.Jamaa katia mimba alafu karudi kwa mkewe,watu wamejipigia sana.

Ila yanasoko sana
 
Back
Top Bottom