Vijana tujenge mbele yetu

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,397
Hali ya vijana walio wengi saivi ni taabani. Tafsiri ya maisha ya kijana wa kisasa ni "kula bata". Humo kumejaa ulevi, uzinzi na ishu zingine nyingi zisizo na tija kwa fyucha (umbea, usengenyaji nk).

Hivi havikatazwi moja kwa moja coz maisha yenyewe ndo hayahaya, na lazma tuyafurahie maisha, ila fanya kwa kiasi. Haya yasikupotezee muda wako mwingi.

Haiwezekani we kila siku uwe mtu wa bata, lini utatengeneza maisha?

Matokeo yake unakuta kijana bado mdogo lakini ukimwangalia amechoka kimuonekano na hata kifikra kwa sababu ya kujibebesha ishu kibao zisizo hata na msingi.

Ujana ni muda wa kuinjoy maisha na kuandaa fyucha sio muda wa kujispoil 'kujiharibu' kwa kuzama kwa yale yasiyo na maana kwako. Furahia ujana wako kwa kufanya mambo yako kwa kiasi. Kwa mfano unakuta mtu kila akitoka mf. disco basi lazma achinje siku hiyo. Ujana ni pamoja na kuzishinda tamaa zako
 
Ngoja hangover ziishe kwanza then tutasoma huu ushauri tukiwa tunajidunga byereeeee.
 
Uko sahihi mkuu, huo ushaur huwa nazingatia Sana nikiwa can kitu mfukon, ila nikiwanazo huwa siufikirii cjui nafeli wapi🤔🤔🤔🤔
 
Motivation Speaker.
😁😀🙄😄😃😃😃
Zilongwa Mbali Zitendwa Mbali.
 
Mbona ueleweki unashauri nini tuache nanini tufanye??
Kwani kufanya kwakiasi hicho kiasi ndio kipimo gani?

Ujumbe mzuri ila ujaeleweka unasimamia wapi.
Wewe nimvuguvugu sio wamoto nawala sio wabaridi.

Kwahiyo wewe nimnafki......
 
Mbona ueleweki unashauri nini tuache nanini tufanye??
Kwani kufanya kwakiasi hicho kiasi ndio kipimo gani?

Ujumbe mzuri ila ujaeleweka unasimamia wapi.
Wewe nimvuguvugu sio wamoto nawala sio wabaridi.

Kwahiyo wewe nimnafki......
mb0na lugha simpo kabisa ya kizalendo au mwenzetu beberu?
 
Back
Top Bottom