gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,025
Habarini ndugu zangu katika pitapita mkoani mbeya nimegundua yafuatayo:
1-Wamama wengi wanapenda kujishughulisha na biashara mbalimbali kubwa na ndogo wengi ni wataftaji....
2- wanawake wengi wenye watoto wadogo hupenda kutembea nao migongoni yani ukikatisha mitaa ya sokoni kila mmama kabeba katoto..
3- wengi wanabeba watoto na kikoi
4- na wanapenda kubeba vikapu kila Kona
5- afu Wamama wana wivu sana
6- Wamama asilimia kubwa wacha Mungu....
Ni hayo tu jaman karibuni sana Mbeya bila kusahau mawife material wamejaa uu mkoa jaman...
Karibuni mbeya
NB: went mapovu mnakalibishwa....[emoji125] [emoji125] [emoji125]
LOVE ABOVE ALL[emoji173]