Dawa ya mwanamke anayekufanyia vituko ndani ya nyumba au mahusiano

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kuna wakati unaweza kufanyiwa vituko na mwanamke wako ndani ya nyumba ikafika hatua nyumba ukaiona chungu kuna wakati hata katika mahusiano unaweza pia fanyiwa visa ukaiona dunia chungu

Na kama huna uvumilivu unaweza kupiga mwanamke wako ukaishia polisi au gerezani je unadhani njia ipi sahihi ya kukabiliana na hali hiii vituko vyake
 
Wanawake wenye visirani na maudhi, wanatuma ujumbe usemao "..Lipo jambo nataka tuliweke sawa lakini wewe huna muda na mimi.."
 
Inategemea na aina ya kituko. Lakini dawa ambayo inapiga kote ni kumchukua mwanamke mkali kumzidi yeye. Hapo lazima akitulize.
 
Role model wenu
Mfalme Suleimani alikosea mambo mengi sana, lakini kwenye kuelezea tabia ya mwanamke nadhani alikuwa sahihi kwa asilimia 1000%. Hakuna kitu kinachokera kama kuishi na mwanamke aliyepungukiwa uwezo wa kufikiri (A Contentios or A Vile Woman). Huwa ni binadamu hatari mno!
 
Wacha bwana!! Akipungukiwa si mnatumia zako blaza?
 
Kwani hapo unakuwa umefanya kila kitu? Kuna ambavyo huwezi so atafanya yeye.
Mtu ambaye yuko Morally Depraved and Spiritually Bankrupt hawezi kufanya mambo positive hata siku moja Jael, hata usipokuwepo watoto wako wataishi maisha ya hovyo sana!

Nimesimamia ishu nyingi za talaka na mirathi, nikajifunza kitu kimoja kichungu: Mwanamke ndiyo mwenye karata ya mwisho kabisa kuamua kama familia inaweza kuwa imara au hovyo!
 
Teh teh teh teeeeh! Basi sawa.
 
Akili yangu inanambia bro una changamoto serious kwenye mahusiano yako,na kiburi na jeuri za mwenzi wako zinakuumiza siku nying,naona nyuzi zako zinaongea kitu,funguka upone faza.
 
Back
Top Bottom