Seran ni mtu wa watu!

Seran ni mtu wa watu!

unajipigia chapuo
hili ndio tatizo humu jf watu kuwa na ID kumikumi
ni ugonjwa unaoitwa "Split personality disorder," more accurately called Dissociative Identity Disorder (DID)
Ni rahisi kama mgonjwa ni mwanaume kuingiwa na vishawawishi kuwa shoga
 
Ni binti mpole sana na anayejiamini sana ndoh maana anakubalika sana na wengi.hakuna posti inapita hajatagiwa kwa kwel ni mtu wa watu!
Wengine wa shetani sio
😆 😂 😆 😂 😆 seran njoo huku tushaanza kutengena 😆 😂 😆 😂 😆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom