Embu kumbuka siku yako ya kwanza kutongoza ile face to face ilikuwaje

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,329
6,882
Wajumbe bila shaka mko poa ! Leo tukumbushane kidogo boys boys siku yako ya kwanza kutongoza binti ile face to face ilikuwaje ?
buda binafsi nakumbuka siku ya kwanza kufanya shambulio la kutongoza ilikuwa balaa binti mwenyewe alikuwa mixer uarabuni na usambaa ss ukinicheki na mm budaa black kama baraka ze prizo, tukitokea xul njian nikamfuata yule manzi ayaaaa yaan moyo ulikuwa kama unachemshwa ktk sufuria maneno yanatoka lkn sio ya lengo la kushambukia eti nilikuwa naulizia kwao ni wangapi kuzaliwa ? Je anapanda daladala au anafuatwa ? Doh nikachemsha ila kesho kutwa yake story xul zikazagaa nimepigwa cha mbavuuu.

Ah mwanaume kaumbiwa mateso jamani
 
Kiswahili tu kwako tabu mkuu huyo shombeshombe ungempatia wapi..😅
Hata hivyo heri yako binafsi sijawahi kutongoza face to face!,Ila ipo siku ntajitutumua lkn dah! Sijui ntasema nini mimi kilamba mwiko wa watu nafikiri naweza zimia..😂
 
Back
Top Bottom