Nawashauri muoe wanawake wengi

Nawashauri muoe wanawake wengi

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Kuoa wanawake wengi ni vizuri kwasababu kwa sasa idadi ya wanawake Tanzania na duniani ni kubwa kuliko ya wanaume....

Sasa unapo oa mwanamke mmoja wale wengine atawaoa nani
Oa ata watano tupunguze idadi ya wanawake ambao hawana ndoa....
 
Idadi za wanaume kua wachache tunazijua....vipi idadi za hao wanaume ambao ni wachache ni idadi gani miongoni mwao katika uchache wao huo huo wana hela nyingi kiasi cha kuwamudu wanawake wengi?
 
Kuoa wanawake wengi ni vizuri kwasababu kwa sasa idadi ya wanawake Tanzania na duniani ni kubwa kuliko ya wanaume....

Sasa unapo oa mwanamke mmoja wale wengine atawaoa nani
Oa ata watano tupunguze idadi ya wanawake ambao hawana ndoa....

Mnajifanya mna huruma sana. Do your pockets agree?
 
Mwanamke mmoja anakutoa jasho hao wengi utawaweza..!!
 
Kuoa wanawake wengi ni vizuri kwasababu kwa sasa idadi ya wanawake Tanzania na duniani ni kubwa kuliko ya wanaume....

Sasa unapo oa mwanamke mmoja wale wengine atawaoa nani
Oa ata watano tupunguze idadi ya wanawake ambao hawana ndoa....

Wewe umeoa wangapi?
 
Siyo Kweli idadi ya watu huhwsabiwa kuanzia mwenye umri wa siku moja mpaka mzee kabisa. Umri wa mwanamke kuolewa unaanzia miaka 18-40 ikiwa unataka azae mtoto, si wote wanataka kuzaa beyond age 40.

Wanaume wanaoweza kuoa na kuzalisha ni kuanzia 18-70......piga hesabu hiyo ndipo ujue wanawake walio katika umri wa kuolewa ni wengi au si wengi, na nini kinasababisha wasiolewe?
 
Kuoa wanawake wengi ni vizuri kwasababu kwa sasa idadi ya wanawake Tanzania na duniani ni kubwa kuliko ya wanaume....

Sasa unapo oa mwanamke mmoja wale wengine atawaoa nani
Oa ata watano tupunguze idadi ya wanawake ambao hawana ndoa....
Sasa watu watachepukia wapi ikiwa wanawake wote mtawaoa?
 
Mimi kila ninae mtufuta ananiambia ana MTU wake sasa sijui hao ndio wana wasaidia matatizo yao pamoja na hayo bado wapo vijana wanateseka wakupata hao wanawake Wa kuwekwa ndani wanaishia kwa madanga wa mjini kwa sababu idadi hiyo kubwa ya wanawake unaosema tuwaoe wengi wao wanataka walio na maisha yanayo eleweka
 
Nahunga mkono hoja


Ndo maana king Solomon ni role modal wangu
 
Back
Top Bottom